Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Nimekuwa navutiwa sana na kiungo huyu lkn hapewi nafasi, ni fundi kweli wa mpira lakn anawekwa benchi na wakati mwingine hata benchi hakai
Hawa walipaswa kucheza Simba B lkn siyo Quality ya Simba top team kabisa. Ahoua hajawahi kuwa na msaada Mechi dume. Utamsikia mechi na Dodoma jiji nkHuyo dogo ni Mchezaji mzuri sana Hata mimi jana pamoja na kuwa ni Mechi ndogo nimemuangalia sana mambo mengi uwanjani.
Akisimama kama beki wa kati.
Akisimama kama kiungo.
Ni mchezaji mzuri sana lakini Sio Quality ya Kucheza Simba .
Ni kama vile Mutale.
Ateba
Karabue chamoe.
Charlea Ohua Nk.
Hapo hakuna mchezajibanayeweza kupambana na Mamelody Ahaly nk
MsyuuuuHuyo dogo ni Mchezaji mzuri sana Hata mimi jana pamoja na kuwa ni Mechi ndogo nimemuangalia sana mambo mengi uwanjani.
Akisimama kama beki wa kati.
Akisimama kama kiungo.
Ni mchezaji mzuri sana lakini Sio Quality ya Kucheza Simba .
Ni kama vile Mutale.
Ateba
Karabue chamoe.
Charlea Ohua Nk.
Hapo hakuna mchezajibanayeweza kupambana na Mamelody Ahaly nk