Simba SC sasa ina profile kubwa sana Afrika na Duniani

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani.

Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na mashabiki walitambue hili na walilinde kwa nguvu zao zote. Sasa hivi timu zitakuwa zinaikamia Simba lakini pia Simba itakuwa na faida ya kuwapa woga kila anayekutana naye. Hili tayari lilikuwepo ila linaenda kuongezeka mara dufu.

Msiwasikilize wanaokebehi kuwa Simba haina cha kujivunia, sijui haina mataji. Mashabiki wa Simba hawatakiwi kuendelea kubishana na vikaragosi.

Kwanza kuweza kufika pale juu bila kwanza kuwa bingwa ni jambo la kujivunia sana. Inaonyesha timu ina muendelezo mzuri na siyo ngekewa au fluku.

Oneni jinsi mashabiki wa Wydad na Esperance wanavyodata na kuwasakama viongozi wao kwa sababu ya timu zao kutetereka kidogo tu na hawa wana mataji ya kujivunia.

Ni muhimu sasa kila kitu pale Simba kifanywe kulingana na ukubwa wetu, ndani hadi nje ya uwanja. Tujenge miundombinu ya kisasa, tuboreshe kikosi kiwe bora zaidi na viongozi waendeshe timu kisasa.

Nguvu na focus sasa ielekezwe kwenye kutafuta Ubingwa wa Africa, kuitafuta top 3 na kubaki hapo na kushiriki mashindano na mabonanza mengi nje ya Africa ili kukuza brand ya Simba. Ni wakati wa kwenda next level.
 
Eti nyuma mwiko wanakomaa simba ijifunze kutoka kwao
 
Vipi kwa Yanga waliocheza fainali ya hilo kombe profile Yao ikoje!
Simba imeshacheza fainali na sasa ipo nusu fainali ikiwa na nafasi ya kufika fainali na hata kubeba kombe.

Fainali hata Dolphins na Djoliba walifika. Ndiyo maana tunasema kinachotofautisha vitimu vidogo na magiant kama Al Ahly na Simba ni kuwa na muendelezo wa viwango. Siyo mwaka huu unafika fainali, mwaka unaofuata unaishia makundi, hiyo tafsiri yake ni umepata ngekewa.
 
magiant kama Al Ahly na Simba n
Al ahly ana makombe 12 ya CAF champion league.

Na ndiye anayeongoza kwa Afrika.

Huyu ukisema ni giant haina shida ni giant kweli.

Simba mna makombe mangapi?

Au u giant wenu unasababishwa na kufika robo fainali klabu bingwa na kufika nusu fainali shirikisho?
 
Takataka. Simba ana kitu gani cha kujivunia? Kufika kiwango huku ukiwa huna hata kikombe cha chai cha CAF ni ukubwa nao?. Hata makombe ya ndani tu umezidiwa. Nimeamini Kweli upande huo una mihemko ya milembe
 
Kwa nafasi iliyofika kama klabu ya nne kwa ubora Afrika, Simba SC sasa ina profile kubwa isiyopingika wala kuwa na ubishi katika mpira wa Afrika na duniani.

Rai yangu kwa wachezaji, viongozi na mashabiki walitambue hili na walilinde kwa nguvu zao zote. Sasa hivi timu zitakuwa zinaikamia Simba lakini pia Simba itakuwa na faida ya kuwapa woga kila anayekutana naye. Hili tayari lilikuwepo ila linaenda kuongezeka mara dufu.

Msiwasikilize wanaokebehi kuwa Simba haina cha kujivunia, sijui haina mataji. Mashabiki wa Simba hawatakiwi kuendelea kubishana na vikaragosi.

Kwanza kuweza kufika pale juu bila kwanza kuwa bingwa ni jambo la kujivunia sana. Inaonyesha timu ina muendelezo mzuri na siyo ngekewa au fluku.

Oneni jinsi mashabiki wa Wydad na Esperance wanavyodata na kuwasakama viongozi wao kwa sababu ya timu zao kutetereka kidogo tu na hawa wana mataji ya kujivunia.

Ni muhimu sasa kila kitu pale Simba kifanywe kulingana na ukubwa wetu, ndani hadi nje ya uwanja. Tujenge miundombinu ya kisasa, tuboreshe kikosi kiwe bora zaidi na viongozi waendeshe timu kisasa.

Nguvu na focus sasa ielekezwe kwenye kutafuta Ubingwa wa Africa, kuitafuta top 3 na kubaki hapo na kushiriki mashindano na mabonanza mengi nje ya Africa ili kukuza brand ya Simba. Ni wakati wa kwenda next level.
Hii ni kufika tu nusu fainal tambo zote hizi, je mngechukua kombe kama kina Tp Mazembe waliochukua zaidi ya mara 3 ingekuwaje🤣🤣🙌🙌
 
Yaani Mpira auna Mbamba, ukijiita wewe Mkubwa watu Wana angalia profile yako.
Sasa profile inaonyesha Simba aina kikombe chochote Afrika ata kwenye Ligi yake imeachwa mbali na Bingwa wa ki historia Young Afrika.
Yanga na Simba zinabaki kua klabu zinazo jaribu kutaka kuleta Changamoto katika mpira wa Afrika ila si klabu kubwa.
Klabu zote kubwa zinatambulishwa na Mataji.
Bora ya Yanga maana ni juzi tu walicheza fainali lakini ata ao Yanga Bado awajiiti wakubwa kwakua kanuni za ukubwa zina kataa.

Ao Al Hilal Ondurman waliocheza fainal, nusu, robo mara nyingi zaidi kuliko klabu za Tanzania awajiiti wakubwa itakuja kuwa Mbumbumbu fc!!
Simba itabaki na umaarufu tu katika zone 5 kama ilivyo Yanga na Si ukubwa.
Timu kubwa aihitaji kumwaga viloba Saba vya chumvi ya Mawe, Shehe wa Mkoa wa DAR, Mtume na Nabii Mwamposa uku wachezaji wakipakwa mafuta ya upako kabla ya mechi ili timu ivuke kucheza nusu baada ya miaka 51 Tangu ifike hatua iyo.

Timu kubwa imetandikwa mara 4 Mfulululizo na mtani wake wa jadi katika ligi kuu mpaka inafikia muda wakikutana Wana kimbia mechi.
 
Mpaka itakapokubalia kuleta team na kusemyentwa na Yanga
 
Bora ukose hata mikono lkn uwe na akili. Huko Yangwa sjui mkifika akili zinamezwa na zimwi gani? Au suppu za Makafara mnazopewa zimeondoa akili zenu zote. Jiangalieni sana ndugu zetu mmekuwa watu wa hovyo haswaa
 
Back
Top Bottom