Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu.
Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya.
Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi.
Ikawashtua mashabiki wengi wa...
Leo ni usiku wa ulaya.
Kazi ni moja tu, kutazama mechi mbili kabambe za robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.
Kuna Bayern Vs Inter.
Afu kuna Arsenal Vs Real Madrid.
Kabla ya kupoteza usingizi...
Yanga anaenda kutimizaa malengo yake yote ikiwa ni pamoja na kutwa ubingwa wa
1. NBC PL
2. CRDB confederation cup
3. Yanga ashatwaa ngao ya jamii akimpiga mtani Simba goli 2 Nusu final, huku...
Siku ya Leo kwa akili zangu timamu rasmi NIMEONGEZA TIMU ya kushangilia ambayo ni real Madrid sitaki ushauri wowote sababu arsenal siioni ikichukua kombe la UEFA hivyo nimeona Madrid ni timu...
Habari wadau.
Poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali.
Dah! MUNGU saidia akafuzu.
Sasa...
Simba imepata ufadhili mkubwa mno haijawahi tokea Tanzania.
Ikumbukwe Rais Samia kipindi cha nyuma kidogo aliahidi kuzitafutia Simba na Yanga ufadhili.
Je, hii inaweza kuwa ndo utekelezaji...
Habari za muda huu wadau wa sport.
nisiwachoshe nauliza tu huyu bwana wa kuitwa kigwangala yupo wapi mbona kimya sana?? sio kawaida yake kukaa kimya.
haya anayofanya simba sport club kwake...
Mpaka sasa Simba na Stellenbosch washacheza mechi 8 kila mmoja kwenye mechi za shirikisho msimu huu.
Simba kashinda 5 Stellenbosch 4
Simba kadroo 1 Stellenbosch 1
Simba kafungwa 2 Stellen 3...
Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya 'bostonmarathon' huko Marekani, tarehe 21 Aprili Mwaka Huu, akiwa na muda wake bora wa 2:04:38...
“Jambo la kwanza ambalo tunakwenda kutekeleza ni kujenga uwanja wa mpira, uwanja ambao utachukua mashabiki 10,000 hadi 12,000 na tumekubaliana kwamba Simba wana uwanja Bunju na tutakwenda kujenga...
Mipango inayosukwa ni kwamba YANGA day ya mwaka huu 2025 waje Man United kwa Mkapa. Pia kutakuwa na mechi ya pili itakayo pigwa Old Trafford Kati ya YANGA dhidi ya Man United. Zaidi ya hapo...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Yaani Kuna Vichaa wanywa komoni kutoka pale Bitaraguru na Wanywa Ulanzi kutoka pale Kilolo wanapanua na kukenua Kwa bashasha wakiamini kabisa ya kwamba...
Hakuhitaji pesa za mafuta kununua makombe na timu yenye majina makubwa, yeye ndio aliwatengeneza wachezaji kuwa na majina makubwa
Mzee alishinda makombe huku akiwa na fletcher kwenye midfield...
Zoezi la ufungaji wa viti vipya 62,000 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa linaendelea, ambapo viti hivyo vitakuwa na muonekano wa bendera ya Taifa la Tanzania ambazo ni rangi za Njano, Nyeusi, Bluu...
Hawa Stellenbosch ambao ni wapinzani wa Simba katika hatua ya nusu fainali ya CAFCC inaonyesha ni timu inayojua sana kucheza kimkakati wakiwa ugenini. Ni kama ina zile sifa kama za Al Hilal ya...
Kama tu pesa za ujenzi na ukarabati wa uwanja wa taifa zimeliwa anaweza kitu gani Samia kusimamia?
Kama hapa ambapo ni kilometer 10 tu kutoka magogoni pesa zinaliwa je pesa za miradi uko kigoma...
Wakuu!
Majira ya saa 10kamili jioni ya leo, Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga...
Hali ya uwanja wa Taifa na ukarabati wake unaenda Kwa kasi ya kunyonga ambapo walitengewa kiasi cha billions 31 ambapo ni pesa ndefu inayoweza kujenga kiwanja kipya
Ujenzi wa uwanja huko Arusha...
Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala.
Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia
Camara
KAPOMBE
ZIMBWE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.