Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga. Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua...
1 Reactions
14 Replies
817 Views
Kila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome, Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Historia inatuonesha Kuna watu walisherehekea mafanikio wakasahau kujiandaa kwa matukio yajayo,mwisho wa siku wakaja kupoteza kirahisi kabisa. Kitu ninachoweza kuwaambia, kwa kadri mtu...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Kufuatia ushindi wake wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Azam FC hivi punde, sasa ni rasmi kuwa Yanga omefuzu kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika kwa msimu wa 2025/2026. Ushindi huo wa Yanga...
18 Reactions
46 Replies
5K Views
Mimi tanzania Sina timu ila naongea kimpira Kuna timu inaitwa simba sipos kilabu au tuwaite mbumbumbu fc a.k.a makolo fc inaenda kuishia kwenye mdomo wa wasouth Africa ukweli usemwz wale waarabu...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
MWAMBA SKUDU MAKUDUBELA AKIWA NA AS VITA MECHI 6 MABAO 10 ASSIST 4
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Mashabiki na Wanachama huwambii kitu baada ya kufuzu semi final huko shirikisho yaani UMISETA au netball au mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda Leo young Africans amemfunga Azam na...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wana familia wa JF, Aisee leo kuna tukio moja nimeliona asubuhi ya leo nikiwa naenda kwenye mishe mishe zangu umenikwaza sana. Kuna jamaa mmoja alikuwa ana drive, yule jamaa alikuwa mbele...
2 Reactions
1 Replies
443 Views
TFF na Simba kuna uhusiano gani? Simba inaonyesha waziwazi kuwa inafanya ushirikina kwenye michezo lakini Bodi ya ligi na TFF wanajifanya hawaoni kitu; tena inazilazimisha timu nyingine zikutane...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimekua nikisoma kwenye mitandao kuwa Simba iligomea mechi mimi nakataa na sababu zangu ni kwamba mechi haikuchezwa. Hili mgomo uhalalishwe ni pale bodi ya ligi ingeendelea na msimamo wake wa...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa? Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae. Ni bora / kheri upewe...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Kocha wa Mstaafu wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza, Sir Alex Ferguson atuma salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Rais Samia akutana na...
1 Reactions
8 Replies
778 Views
Kocha wa Manchester United ya England, Ruben Amorim atuma salamu kwa niaba ya wachezaji wa timu hiyo kwa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Jezi hii iliyosainiwa na wachezaji wa Man...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Vichekesho haviishi,Kombe la looser la vibonde Yanga alifika fainali na wala hakupiga makelele Yanga alivaa medali za Fainali za kombe la looser na kutoa mfungaji bora wa michuano Fistol Mayele...
8 Reactions
66 Replies
3K Views
Hapo vip!! Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe. Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za...
1 Reactions
14 Replies
774 Views
SIKU YA MECHI KALI. 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC 📆 10.04.2025 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Jioni VIKOSI VINAVYOANZA LEO. Updates.... Dakika 11 Pacome anaipatia goli la...
8 Reactions
206 Replies
13K Views
Nawaomba na kuwasihi sana viongozi wa Simba, kuna mwaka tukiwabeba akina Manula, Nyoni, Bocco na Kapombe baada ya azam kushindwana nao kwenye dau , wachezaji hao waliiletea Simba heshima kubwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom