Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3. Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana...
21 Reactions
246 Replies
10K Views
Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Japo nimechelewa ila naomba mods mkiona tu makolo wameshinda hata kama mlikua mmelala mkimbie haraka sana ofisini mnipige ban ndefu ya siku mbili consecutively Kama hamtakuwa na...
9 Reactions
119 Replies
5K Views
Kauli mbiu ya Simba ni ubaya ubwela, sasa kwa kuwa wamewaalika watu walioitendea Yanga ubaya, kwenye hiyo mechi,basi wajibu wetu ni kuwajibu ubaya kwa ubaya. Tukaishangilie Al Masry kesho
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Simba wakisema wahamie ligi ya Egypt hawawezi kukosa tano bora.mpira wa Simba na timu za Egypt unarandana sana. Azam natamani wahamie ligi ya Zanzibar. Huku bara ibaki Yanga na nduguze
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu...
17 Reactions
59 Replies
2K Views
Mchezaji wa mpira wa miguu, gwiji Dimitri Payet anaripotiwa kuchunguzwa na polisi nchini Brazil baada ya kushutumiwa kwa 'unyanyasaji wa kimwili na kisaikolojia' dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake...
1 Reactions
18 Replies
829 Views
Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku 🏟️ New Suez Stadium...
17 Reactions
740 Replies
33K Views
My Take Lipokuja swala la kuiheshimisha Nchi na Ligi ya Tanzania Kimataifa,Simba ni Timu ipewe maua yake.
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Vyombo vya habari vya Ulaya vilikuja na taarifa kuhusu bwana mdogo Israel Olatunde ambaye ni raia wa Ireland kwa kuzaliwa na moja ya mwanamichezo ambaye anajitazama kama raia wa Ireland, huku pia...
3 Reactions
10 Replies
646 Views
Naomba kujua jinsi mgawanyo wa fedha za motisha unavyokuwa kwa wachezaji wa mpira wa miguu.mfano juzi Mo ametoa milioni 500,je wachezaji wote watagawana sawa[waliocheza na ambao...
0 Reactions
10 Replies
989 Views
Naomba taarifa za Yao Yao na Mkude, hivi Hawa Watu bado ni Wachezaji Wa Yanga.?
2 Reactions
6 Replies
812 Views
Newcastle fc vs Man United Namuona Isack akienda kugusa mioyo ya mashabiki wa united duniani My bet Newcastle 3 united 1 FT
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Yanga s.c alipangwa kundi moja na Al hilal Omdurman, MC Algers na TP Mazembe ambapo Al hilal aliongoza kundi huko MC Algers akishika nafasi ya pili, Yanga na TP Mazembe walikusanya vilago na kila...
14 Reactions
25 Replies
1K Views
Wazee wa vichaka hauwasikii tena wakiongelea habari za kubeba mafyekeo. Kelele zilikuwa kwa ajili ya kujaza watu uwanjani, zoezi ninalosikia halikufanikiwa. Wamekwenda machakani, wamekuta vyura...
20 Reactions
83 Replies
7K Views
Moja ya changamoto kubwa ya Uwanja wa Mkapa ni kuharibika mara kwa mara kwa sehemu ya kuchezea kutokana na jua kali au mvua. Leo nakuja na pendekezo kuntu, kwa nini tusiezeke bati kumaliza...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga. Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua...
1 Reactions
14 Replies
817 Views
Kila Azam inapocheza na Yanga, Lusajo Mwaikenda ni lazima amuumize Pacome, Mechi ya kwanza Lusajo alimuumiza Pacome na mechi ya leo kanuumiza tena,hivi anatumwa kumuumiza Pacome?
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom