Yanga SC 8-1 Stand United FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 15.04.2025

holoholo

JF-Expert Member
May 10, 2023
2,534
4,320
Wakuu!

Majira ya saa 10kamili jioni ya leo, Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga katika hatua ya mtoano ya robo fainali.

1744728771327.png
Ni matokeo ya aina moja tu ndiyo yanahitajika katika mchezo huu,ushindi pekee utakao iwezesha timu moja kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali.

Fuatana nami sako kwa bako kukuletea yanayojiri mubashara kupitia uzi huu.
timu ya wananchi

Vikosi vya timu zote mbili

1744725955042.png


1744726098197.png

16' Gooal - Aziz Ki
20' Gooal - Kibabage
32' Goooal - Chama
41' Goooal - Chama
49' Goooal - Msenda
61' Gooooal - Aziz Ki
63' Gooooal - Aziz Ki
67' Gooal - Aziz Ki
87' Goooal - Musonda

Dakika 2 zimeongezwa

FT |
Yanga SC 8-1 Stand United FC
 
Wakuu,
Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga katika hatua ya mtoano ya robo fainali.

Ni matokeo ya aina moja tu ndiyo yanahitajika katika mchezo huu,ushindi pekee utakao iwezesha timu moja kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali.

Fuatana nami sako kwa bako kukuletea yanayojiri mubashara kupitia uzi huu.


Karibuni
Incomplete Info

Taja muda ,Starting time ya match
 
Kama mshindi wa mechi hii atakutana na simba, basi yanga atapigwa Leo. Tulishasema hatuchezi nae. Wazee wa uwekezaji, KULA CHUMA HIKO!!!
 
Back
Top Bottom