Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,452
- 10,058
Mpaka sasa Simba na Stellenbosch washacheza mechi 8 kila mmoja kwenye mechi za shirikisho msimu huu.
Simba kashinda 5 Stellenbosch 4
Simba kadroo 1 Stellenbosch 1
Simba kafungwa 2 Stellen 3
Simba kafunga goli 10 Stellen 7
Simba karuhusi goli 6 Stellen 10
Simba ana clean sheet 4 Stellen 5
kwa takwimu hizi, nawaona Simba wakienda Fainali endapo watashinda mechi yao ya jumapili kabla ya kwenda kutafuta droo kwa Madiba