Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe...
1 Reactions
6 Replies
456 Views
ANAANDIKA EMMANUEL MALIMA TWENDE NA DATA MICHUANO ya Kombe la CAF, ilikuwa ni michuano maalumu ya kila mwaka, iliyoanzishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa kuzishirikisha timu...
3 Reactions
6 Replies
16K Views
Klabu ya Simba SC itapata kitita cha dola 750,000 sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 2 (2,006,874,750) baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimechungulia kila kibuyu, nimeenda kwa wenzangu wanaojua kuangalia kama mimi, Leo kama unataka ckukuu iwe njema wekea simba tu kwenye betting, kipigo kitakatifu atakula mwafrika kusini. Iwe mvua...
1 Reactions
1 Replies
408 Views
Mtangazaji Mwijaku alitoa ahadi kuwa Yanga Sc ikimfunga Simba basi atampa mke wake Ali Kamwe ambaye ni Msemaji wa Yanga Vipi sasa kashampeleka kwa Ali Kamwe au Kamwe amfuate mwenyewe? Ubaya...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu Mwekezaji mkuu Mo mwenye...
9 Reactions
80 Replies
3K Views
Msafara mrefu wa Magari ukiwa umesheheni Mashehe na Wapiga Dufu umeanza safari Kuelekea nyumbani kwa Mwijaku ili Kumchukua Mke wake kama alivyoahidi yeye Mwenyewe. Mashehe wengi wameonekana na...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
‎Kwenye hili hakuna hata kupepesa macho kama kwa sasa Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara ‎ ‎Mpaka sasa kama utagawa kwa idadi ya michezo ambazo...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa Maoni yangu,Sababu zitazoifanya Simba imfunge Stellenbosch jumapili huko Zanzibar ni hizi hapa. Kwa miaka mingi Simba imekua ikiishia robo fainali kimataifa sio Kwa sababu ya kua uwezo wao...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Hapo vip!! Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025. Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Nawauliza mnaobeza mashindano ya kimataifa kwa kuyaita ya akina mama,timu yako iko kwenye mashindano ya jinsia gani? Maana ya kiume haupo uliishia wapi mi sijui. Wababe hufika kwenye nane bora...
3 Reactions
5 Replies
392 Views
Msigwa ametoa tamko hapa Azam Sports HD, kwa hatua ya nusu fainali goli moja ni 20 milioni. Sipendezwi na hizi kampeni
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Nimeona wengi wakiizungumzia mechi ya Simba na Stellenbosch kwamba Simba awe makini kwani siyo kama alivyokutana na Almasry. Sababu ni kwamba wapinzani wa sasa wa Simba wamemtoa Zamalek! Ni...
2 Reactions
4 Replies
557 Views
MATCH-DAY 🏆 #TotalEnergiesCAFCL SF 1st Leg Orlando 🆚 Pyramidsfc 🗓️ 19 April 2025 ⏰ 7pm EAT 🏟️ FNB Stadium Kitaumana leo... Wachezaji Orlando Pirates Kikosi cha Pyramids SC
4 Reactions
225 Replies
7K Views
Siku zote mkubwa ni mkubwa tu, Yanga alicheza fainali ya haya mashindano wala hapakuwa na kelele, Ila sasa kelele zimekuwa nyingi kila kona! Shida inaweza kuwa ugeni, ushamba au nini wakuu?
5 Reactions
33 Replies
1K Views
🚨𝙂 𝘼 𝙈 𝙀 𝘿 𝘼 𝙔🚨 ⚽ Mamelodi Sundowns vs Al Ahly FC 📆 19 April ⏰ 16H00 🏟 Loftus Versfeld Stadium Mtanange mkali sana huu! Mimi nitakuwa tayari kuwapa updates zote muhimu kwa Siku ya leo. Binafsi...
4 Reactions
116 Replies
6K Views
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemkuta na hatia shabiki wa Simba Mohamed Khamis Mohamed maarufu kama ‘Dokta Moo’ aliyeshtakiwa na Sekretarieti ya TFF akituhumiwa...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Ameandika Sama Ndambile KUNA KILA DALILI WAWEKEZAJI WAMEINGIA KWENYE JAMBO WASILOLIFAHAMU Bilioni 38 kwa Miaka mitano. Bilioni 5.6 kila mwaka. Ongezeko la 10% kwa kila mwaka. FAIDA ZA...
5 Reactions
77 Replies
5K Views
Back
Top Bottom