Haki ya matangazo kwa timu zinazoshiriki ligi ya vodacom

elimsu

Member
Aug 27, 2010
31
3
Wanamichezo wenzangu naombatujiulize sh. millioni sita zinazolipwa kwa vilabu ligi kuu ya vodacom ni sawa?na vipi kuhusu mgao wa simba na yanga ambao wana washabiki lukuki, je mgao wao ni halali kuwa sawa na timu zingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom