kazi imeanza darajani

kumbe inkoskaz Arsenal bwana naumia van persie anapumzika wiki 3 na tuna game ngumu mbele yetu
mkuu mpira unadunda...kazi nzurt chelsea kwa kutuvutia shati
gunners tunakuja na uchungu wa kufungwa na Birmingham
 
leo ndo mmejuwa kuwa huwa mnabebwa? Bado subiri majogoo wanakusubiri na mcheza rugby wenu hachezi vidic ukitoka hapo Gunner baadae O M ktk CL
 
hahaaaaaaaaaaaaaaa jamaa hapa wanalalamika refa ni kweli amewapendelea chelsea?mimi kwa upande wangu siamini naona refa alikua poa tu ila nipo na rundo la watu hapa mashabiki wa man u wanasema refa kawabeba chelsea eti ile penalt siyo nimecheka sana na kumkumbuka refa wenu web!
ni kweli kaka.leo kwangu kesho kwako.
 
Dah! na game inayofuata sijui itakuaje Anfield. Vidic suspended,Rio Ferdinand na Evans majeruhi mlinzi pekee wa kati wa uhakika ni Smalling
 
Back
Top Bottom