TP Mazembe vs Simba Sports Club

mpira unaonyeshwa tbc1 sasa hivi.simba imefungwa goli moja hadi sasa hivi.
 
FIganiga unanishangaza sana hivi unategemea simba watashinda?si tulishaacha kushabikia matimu ya kibongo bora tuangalie nchi za wenzetu unatafuta presha bure
 
Wajitahidi tu jamaa wasipate karamu ya magoli maana katika mchezo wa marudiano chochote kile kinawza kutokea.
 
TP Mazembe ni timu ambayo huwa inaupiga kwenye FIFA Club World Cup Soccer,last year nadhani walitolewa na AC Milan...Miye nilikuwa mshabiki wa Simba ila cjafuatilia kwa muda,sidhani kama they hold a chance over TP Mazembe.
 
Kwa mpira unaoonekana sasa, Simba kufungwa goli zaidi ya 3 ni vigumu, hawaonekani kuzidiana sana, ni uzembe as usual, mpaka unatamani uingie uwanjani uwacharaze bakola
 
Mhhhh! si chini ya nne leo wamenuia kujikusanyia $50,000 kwa kila mcheza. AIBU TUPU!
 
Back
Top Bottom