Mademu Kambi ya Taifa Stars,Mhhh

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Ikiwa inakabiliwa na mechi ngumu hapo kesho dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya kati,wachezaji wamewekwa kambini hapo Atriums Hotel Sinza lakini cha kushangaza jana jioni kwa geti la nyuma wachezaji hao walikuwa wanajivinjari na girlfriends wao waliowafuata hapo.kitendo hiki kimefanyika kwa siri bila kocha wao kujua,sasa najiuliza perfomance itakuwa nzuri kweli?
 
Itakuwa bomba sana !
Akili zao zitakuwa zi,etulia
 
Kama wana mazoezi ya kutosha haina shida na pia haiwezi kuwa sababu ya kufungwa, Ronaldo De Lima kabla ya mechi ilikuwa lazima achakachue ! Na akiingia uwanjani alikuwa anawachakachua pia timu pinzani... :bathbaby:
 
kama ndo hivyo basi kwanini wasiambiwe waende na mademu zao kabisa huko kambini ili washinde kila mechi???mana wanajificha ili wasionekane kwanini?wakifungwa lawama kwa kocha kwanini??
Kama wana mazoezi ya kutosha haina shida na pia haiwezi kuwa sababu ya kufungwa, Ronaldo De Lima kabla ya mechi ilikuwa lazima achakachue ! Na akiingia uwanjani alikuwa anawachakachua pia timu pinzani... :bathbaby:
 
Lakini ingekuwa kwa ruhusa ya kocha,vinginevyo ni kukuika maadili ya kambi...ndo maana hata huwa wanapata ile sigara kali kwa style hii
 
Umeona eeeh??yani hawa wachezaji wetu sijui vipi mpaka namwonea huruma Mzungu wa watu mana anafundisha watu wazima ila hawafwati maadili ya kambi!!
Lakini ingekuwa kwa ruhusa ya kocha,vinginevyo ni kukuika maadili ya kambi...ndo maana hata huwa wanapata ile sigara kali kwa style hii
 
mbona hata katika ligi kuu kila mkoa tuna mademu tunagonga na ushindi kama kawa......maneno ya kiungo mmoja wa taifa stars
 
Watafanya vizuri sana....kibaya hao mademu wawe changudoa ila kama ni girlfriend wao nina hakika hiyo ni energizer kwa ushindi mnono leo
 
Hapa kwa kweli leo tunachezeza kichapo.................hii michezo ya kuchakachua mademu kabla ya mechi ndio nuksi zenyewe.
 
Hiyo ndiyo sababu ya Taifa Stars siku zote za kambi inapangiwa hapo; kila kitu ni bei cheee.
Yale maeneo kwakweli hayalipi kwa Timu tena ya Taifa kukaa hapo. Inawezekana TFF ina HISA na Kona Bar, Hongera Bar na Atriums.
 
Wadau hamjaongea tena baada ya Starz kushinda. Mmeona umuhimu wa ile kitu kabla ya game ? Kitaaluma ile kitu moja ni kama kukimbia km 10, so ni nzuri sana kwa maplayer kabla ya kucheza game.
 
Back
Top Bottom