Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

KUNAmambo mawili katika soka; mosi, ni maendeleo ya soka katika mpangilio wa ukuzaji wa vipaji, pili ni kushinda mchezo bila kujali mpangilio wa maendeleo ya soka. Na kocha Jose Mourinho wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
JUMAPILI iliyopita, wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Klabu Bingwa Afrika, Simba, walikuwa mjini Lubumbashi kumenyana na TP Mazembe ya huko katika mechi ya kwanza ya raundi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
941 Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati Wabongo tunateseka na kuhangaika namna ya kutatua tatizo la uhaba wa nishati ya umeme wenzetu Qatar wamegundua utaalamu wa kutengeneza mawingu ya bandia ambayo yatafunika viwanja wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Posted Mar 21 2011 2:31PM HOUSTON (AP) -- The Houston Rockets have assigned center Hasheem Thabeet to their developmental league affiliate in Rio Grande Valley. The 7-foot-3 Thabeet...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa jf, Mimi huwa ninafuatilia sana uelewa watu kuhusu mambo ya msingi ya nchi hii. Kila mara kunapokuwa na mambo muhimu kwenye media asubuhi kwenye vituo vya magazeti, ktk daladala na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mnamkumbuka huyu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NIPOKEENI, MGENI LICHA SINA KAMBA! (Juzi) majira ya saa 1:30 nimekaa kando ya redio yangu, nasikiliza Kipindi cha spoti cha Radio One Stereo, taarifa ya kispoti inatoka pemba kwamba, timu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni jambo lililowazi kuwa watanzania tumekuwa na kiu ya muda mrefu kupata mafanikio katika michezo na hasa soka kuanzia timu ya taifa hadi ngazi ya klabu. Serikali kwa kushirikiana na TFF wameleta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kile Kinachoonekana udhaifu wa wazi,ama uelewa mdogo wa watendaji TFF juu ya suala zima la mawasiliano,kumesababisha kiungo wetu Taifa Stars kuikosa match na africa ya kati.Wanamwandikia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nadhani Simba ni muda ya kuipigia promo game yake na TP MAZEMBE ili angalau wasikose yote,hii ni game ya kuvuna pesa maana hakuna dalili ya kuitoa TP MAZEMBE hata tukienda kunywa kila mchezaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali ya kusikitisha kabisa,napenda kutoa dukuduku langu kuhusu anayejiita mchambuzi wa soka nchini Edo Kumwembe....Kimsingi sijui huyu jamaa kasoma wapi taaluma ya michezo,tulikuwa na watu...
0 Reactions
32 Replies
15K Views
Jamani labda Tv yangu ina matatizo naona mechi imekatishwa ghafla haionyeshwi naona Matangazo na maongezi ya Commentetars tu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom