Uongozi mzima wa CECAFA ulioketi jioni hii ukishirikisha vilabu vyote vilivyo shiriki michuano ya cecafa 2011 wamekubaliana kwa kauli moja chini ya usimamizi wa mahakama ya michezo ya dunia...
Inasikitisha sana, hawa makocha wetu walioalikwa kuchambua soka hususan STAR TV! Walikuwa wanaboa vibaya,hawakuwa wachambuzi wa soka bali UNAZI! walikuwa wanashabkia wachezaji na kuwazodoa waalimu...
Sky and ESPN announce live Premier League fixtures for 2011-12
Live games confirmed for first four months of season
Opening round will feature last season's top four...
Ama kweli leo nimeamini TANESCO hamuna utani na mtu, yaan mpira ulipo kwisha tuuu mambo yote KWISHINEI
hivi kwanini msingekata baada ya Goli tu kuingia...?????
au kipindi cha pili kilipoanza...
Celtic Football Club is delighted to announce they have agreed a fee with Germinal Beerschot for the transfer of Kenyan International midfielder Victor Wanyama, who has also agreed personal terms...
Nimesikia eti Yanga wanaenda kufanyia sherehe za ubingwa wao katika hiyo Pub inaitwa SIMBA KAPAKATWA. Yeyote anayejua hii Pub ilipo atujuze tukajimwage. Ipi nzuri KUBEBWA KAMA YANGA AU KUPAKATWA...
Wakati umati umejazana uwanja wa taifa kusubiri mpambano wa simba na yanga habari zilizotufikia punde zinasema
klabu ya simba imetangaza kutoingiza timu ile iliokuwa ikicheza na kuapa kuchezesha...
Pengine jana nilikuwa mmoja wa waliokuwa na furaha na kupata nafasi ya kuangalia mechi ya simba na yanga. Ilinichukua kuamini kweli tumeshinda Mungu mkubwa.
Najua unajiulizaje asamoah amekuja...
Pamoja na kelele zake zisizo za tija wala msingi Rage hana uwezo kabisa wa kuifunga Yanga,tangu ameingia madarakani hajawahi kuifunga yanga.Nawashauri wana Simba mumfukuze kisha Mrudisheni Kassim...
I'm not distracted by music - Asamoah GyanIN ASSOCIATION WITH
Page last updated at 09:04 GMT, Friday, 8 July 2011 10:04 UK
By Michael Oti Adjei
BBC Sport, Accra
Gyan says football remains...
Tenga Rais wa TFF unasikitisha sana..siku hizi nawe umekuwa mwanasiasa. Eti "football and TV are inseparable" ni mala ngapi timu zetu za taifa zimecheza bila kuoneshwa katika TV....hasa siku za...
England v France, Women's World Cup quarter-final, 5pm Saturday 9 July BBC makes U-turn on England's women's World Cup quarter-final BBC to show match against France live...
Defending champions South Africa have secured their place in the semifinals of the 2011 COSAFA Womens Championship after a 4-0 Group B victory over Botswana at the Gwanzura Stadium in Harare on...
rage uwe makini siku nyingine mambo muhimu usikimbilie kweye vyombo va habari
kama ulivyomuasa mussa mgosi awe makini tunakushauri na wewe ujipende uwe makini aibu isikukute tena mzee mzima hata...
Bado najaribu kutafakari matokeo ya mechi hii:
Taifa Stars VS Germany(Ladies)
Venue: BWMkapa national stadium
Time: 15:30
Date: ?????
Result: ____________
Predictions anyone?
FC Twente stadium collapses, killing one and injuring 16
Roy Huiskes's Twitpic of the collapsed stadium
In pictures: The scenes at FC Twente today...