Nibebe nibebe nibembeleze nibebe mkononi mwako nifike salama!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nibebe nibebe nibembeleze nibebe mkononi mwako nifike salama!!!

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Jul 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,221
  Likes Received: 3,143
  Trophy Points: 280
  Wakati umati umejazana uwanja wa taifa kusubiri mpambano wa simba na yanga habari zilizotufikia punde zinasema
  klabu ya simba imetangaza kutoingiza timu ile iliokuwa ikicheza na kuapa kuchezesha timu iliokamilika
  tofauti na wakati wakicheza na timu nyingine
  msemaji wa taarifa anasema simba imejipanga kweli baada ya kuhofu kupanga kikosi cha dharau na hivyo
  kuweka mazingira tatanishi
  kazi ipo

  kidumu simba
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  upupu.
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  punguza ganja, nilivyoona hii habarinikashituka kidogo, kumbe ni ushabiki!
   
 4. Mhindih

  Mhindih JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Msimulia mvua imemnyea.
   
 5. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,945
  Likes Received: 1,632
  Trophy Points: 280
  .........Na wamesema kama vipi wacheze peku.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  naskia wanajiharishia tuuu kwa woga mnyama bana keshazoea kuwinda sungura sasa leo kakutana kizingiti sharubu zinapukutika tuu
   
 7. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  yanga wetu tu mkuu, hata tukikuweka wewe na kitambi chako golini badala ya kaseja! Tutawatungua tu!
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Duuuh PDidy nilifikiri Simba imegoma kupeleka timu kumbe ni kuhusu kikosi gani kitaingia uwanjani! Simba au Yanga nakuthibitishia hakuna timu itakoyoingiza kikosi mtori kabisa na mechi itkauwa ngumu.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,316
  Likes Received: 14,584
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Ushabiki mwingine bana! Nilidhani kweli...
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,221
  Likes Received: 3,143
  Trophy Points: 280
  sema tena?????
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,221
  Likes Received: 3,143
  Trophy Points: 280
  nibebe nibebe nibembeleze nibebe mkononi mwako nifike salama

  [h=2][​IMG][/h]
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,861
  Likes Received: 6,353
  Trophy Points: 280
  Hivi mbona yanga wanakuwa identified na malapa!??
   
 14. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,666
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Oh! mara Yanga wanabebwa, Mara ....Poleni sana tukutane kwenye ligi na kichapo kinawangoja
   
 15. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mshapakatwa!!!!!!!!!!!! Ukiona manyoyaaaaaaaaaaaaaaaaa ujue..............
   
 16. francismaka

  francismaka Member

  #16
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  7.JPG

  Hii ndio dawa yenu Simba
   
 17. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa mbona mambo yameenda tofauti?
   
 18. l

  luhwege Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mkome kujisifu aibu ya mwaka na hamtaisahau yanga mwaka huu mpaka mmezimia hahahahahahahahahahahahahahahahaha
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Simba kibisa kapakatwa
   
 20. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakika YANGA mumefurahi.....duuuuuuuuuuuuuu
  [​IMG]
   
Loading...