Simba Kapakatwa Pub

Kimilidzo

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
1,346
613
Nimesikia eti Yanga wanaenda kufanyia sherehe za ubingwa wao katika hiyo Pub inaitwa SIMBA KAPAKATWA. Yeyote anayejua hii Pub ilipo atujuze tukajimwage. Ipi nzuri KUBEBWA KAMA YANGA AU KUPAKATWA KAMA SIMBA?
 
teh teh Simba wenyewe walitaka kubong'oa lakini mwisho wa siku wakabadili mawazo na kupakatwa...
 
Ipo Makumbusho karibu na kituo cha basi.Nawapa pole watani zangu mimi sitawakebehi mpira unadunda na leo ilikuwa zamu yetu.
 
Ipo Makumbusho upande wa kituo cha mabasi yaendayo Mwenge,mara tu baada ya showroom ya magari ukitokea mjini.
 
Kibao kimoja tu kama cha nguruwe,watoto 30.Mji kimyaaaaaaa.

Jana mlifurahi kwa kweli.........Hongereni!!

264656_131090303642985_100002260494106_233629_8120326_s.jpg
 
Back
Top Bottom