JOKE: Simba sc yatangazwa bingwa wa Kagame cup 2011 kwamara ya saba!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Uongozi mzima wa CECAFA ulioketi jioni hii ukishirikisha vilabu vyote vilivyo shiriki michuano ya cecafa 2011 wamekubaliana kwa kauli moja chini ya usimamizi wa mahakama ya michezo ya dunia iliyowakilishwa na Duastr Long kuwa kutokana na kiwango kilichoonyeshwa na Mnyama hakuna haja ya fainali hivyo kuwapunguzia presha,Bp,sheli na Gapco wapinzani wetu Yeboyebo aka bibi harusi!

Hivyo tangu sasa Wanalunyasi,Mnyama,The Killers,Mume wa Yeboyebo ametangazwa kuwa bingwa wa Kagame Cup 2011
Mwinye kununa na anune! Ukinitusi unajihatarishia Burn ya maisha!!!
 
........mishikaki ya kutafunwa na yanga africa ya pale msimbazi. lol
 
hahaaa mke si ulishatangulia chumbani mie mmeo YANGA nikakufuata chumbani sasa maandalizi tu ushaanza makelele eti yanakutisha je mechi ikianza je? mtani unajua kuweka chachandu namna hii
 
hahaha!naona unavyojifariji.
 
piga dudu hawa malapa.. Hatucheki na malapa sisi
SIMBA:heloooo sweet..kesho utanipaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
YANGA:nitakupaaaa(huku kamebaana pua)
 
Mnyamaaa! Mnyamaaa! hahahahah lol! :)

Last edited by a moderator:
Yani demu wangu amechlewa salun kaniahidi kesho saa kumi kesho nishalipia gesti palepale ninapomtafunia dally! Demu mwenyewe anaitwa Yanga!
 
Hivi nyiye hamna haya? mashindano yenyewe yako wapi ya kushabikia na kelel zote hizo? mnakuwa kama CCM bwana? hatuna soka kabisa tatnzania na ndo maana hata timu ya taifa inafyata mkia kila mara sababu ya CCM magamba.

hahaha!naona unavyojifariji.
 
sioni sababu ya mechi ya kesho, ni kupoteza rasilimali na kuongeza foleni za magari tu, SIMBA keshakuwa bingwa siku nyingi.
 
Hivi nyiye hamna haya? mashindano yenyewe yako wapi ya kushabikia na kelel zote hizo? mnakuwa kama CCM bwana? hatuna soka kabisa tatnzania na ndo maana hata timu ya taifa inafyata mkia kila mara sababu ya CCM magamba.
hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
aaah kishtobe mnyama naona siku hizi unazidi kupendeza tu kesho lazima nikuzidi pumzi pale uwanjani nakupumulia kmctatu hivi halafu ntakunulia VITZ mtu wangu au unasemaje?
 
Hahaaaaaa.......

Watani kweli mna kimuhemuhe na game ya kesho......Mpaka mnachapia heading(breaking newa......lol..)

Hii naidedicate kwa watani zangu Saint Ivuga, Masuke, Jason bourne, BAK, MTM, zumbemkuu na mishikaki mingine(wanyama) yote......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom