Ninakuwa mnyoofu wa moyo katika kuliongelea gemu la leo maana kinachonisukuma ni uzalendo tu ila si soka!
Timu yetu imekuwa nzuri kiufundi, tatizo lake ni hamasa tu!
Tunahitaji mtu...
..kama wengi tulivyotarajia timu yetu ya Taifa imeangukia tena pua. Kwa wale wenye umri kama wangu au zaidi yangu watakumbuka vikosi vya miaka ya 80 vya kina Juma Pondamali, Marehemu Kajole...
Wana Jf
Tanzania tumekuwa na desturi ya kila timu yetu ya Taifa ifungwapo basi tunakuwa na visingizio kibao cha kwanza ni kubadilisha kocha,Hata kama tukibadilisha makocha mala 200 bado tatizo...
Does anyone know the revenues of Tanzanian soccer clubs like Simba SC?
StadiumZone - Home
has a list with all sports clubs with a revenue above 20 million euros, but no
Tanzanian clubs are...
Inamaana Afrika mashariki ni vibonde!! Si Kenya,si Uganda,si Rwanda,si Burundi na wala si Tanzania aliyefuzu fainali za mataifa ya Afrika.Sasa hadi lini tutakuwa tunawashangilia wa Afrika ya...
Katika Mechi ya hivi karibuni, Niza Khalfan anayechezea Vancouver Whitecaps ya Canada, inayoshiriki Major League (MSL) alionesha kiwango kikubwa, kusababisha goli na pia kufunga goli zuri sana...
Chadema Arumeru ni mfano wa kuigwa kwa kuanzisha Ligi ya Mpira wa Miguu.Hongera Mbunge Mh Joshua Nasari Mungu atakulipa kwa moyo wako wa kusaidia vijana.KILEWO,NASARI NA KOMBE WAWASHA MOTO...
Michael Jordan is amongst the most vocal of NBA owners when it's come to initiating a better revenue-sharing system, as his Charlotte Bobcats struggle to compete financially with the Los Angeles...
Cameroon imeichapa DRC mabao 3-2 ugenini mjini Kinshasa, lakini haitaenda CAN 2012 kutokana na kuwa ya pili bila hata ya kujali matokeo ya pair nyingine ya mechi kati ya Mauritius na Senegal...
Iran objects to London 2012 Olympics logo
By ALI AKBAR DAREINI, Associated PRess
Feb 28, 12:30 pm EST
TEHRAN, Iran (AP)Iran objects to the logo for the 2012 London Olympics, contending it is...
Basketball FIBA Zone V Club Championship to start on 9 to 16 Oct/2011 at National Indoor Stadium and Don Bosco, Upanga in Dar Es Salaam.
21 Ladies and Men teams from Burundi, Ethiopia, Kenya...
Salaam wanaJF!
I was told by a friend of mine about this website. It is really amazing that you can watch live sport games for free whenever and wherever they are being played.
Enjoy it!
SPORT...
WIKI mbili zilizopita, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chilla Tenga alikutana na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kujaribu kuwekana sawa katika masuala...
Why is it Kenya, Ethiopia, Uganda can produce world class athletes yet we continue to perform poorly. The incompetence, corruption and laziness of people in this country is just amazing. When...