Leo TFF wameongeza muda wa usajili hadi 15th Aug ambalo lilitakiwa lifungwe leo 10th Aug saa 6usiku. Wametumia vigezo gani kuongeza muda huo? Je hawana kalenda ya matukio? Au kwa kuwa Yanga...
Ukiangalia jinsi TFF ya Tenga na wenzake inavyoendeshwa utakubaliana na kichwa cha thread hii.kwa takriban wiki 2 zilizopita kumekuwa na matukio ya kusikitisha ambayo yanalichimbia kabur soka...
Stephen Kiprotich of Uganda wins Olympic gold medal in the men's marathon
1.MUSSA Faustine
2.
RAMADHANI Samson
hao ndio wanao kimbiza upepo huo sasa hivi
Timu Inazidi kukamilika Silaha Kazi zaMaangamizi zinazidi Kutua Ndani ya Lakers Team... Sasa Ndio Mwendo wa Kuchukua Ubingwa Back to Back Umewadia
Ops This is Wrong Usitizame Boyz ii Men...
Kama kawaida mwanasoka wa Kitanzania Mbwana Samatta ameendelewa kuwa mchezaji muhimu wa klabu ya soka ya TP Mazembe ya DRC, baada ya kuifungia goli la pili katika mchezo wa leo dhidi ya Zamaleki...
Mda huu ameongea kupitia kipindi cha michezo cha clouds Fm kwamba Naibu Wazir wa michezo ameliongopea bunge kwamba alimpigia simu na yeye kukikir kuwa kauli yake kwamba Tz ikirudi na medali...
Salam!
Mwenye kujua chochote mpaka sasa Tanzania tumepata medali ngapi za Dhahabu, Fedha na Shaba? hapo jirani zetu kenya jana naona wameongeza nyingine ya Mwanariadha na kapteni wa Timu ya...
Kwa mfano kwenye ligi ikatokea mpaka siku ya fainali wafungaji wawili wanaoongoza kwa ufungaji na magoli yao yamelingana,tuseme kila mtu ana magoli 10,sasa kwenye mechi ya fainali kati ya wale...
Jambo moja muhimu ambalo linalalamikiwa na watu muda mrefu wabunge kupewa nyadhifa nyingine serikalini na hivyo kutokuwa karibu na wananchi ili kusaidia kuihimiza serikali kuleta maendeleo kwa...
Carli Lloyd kisses her gold medal after scoring both USA goals in a 2-1 win over Japan
in the final of the London 2012 Olympic women's football competition.
Olympic Winners: Do They Deserve Tax...
FIXTURES
Sat. 14th July 1 APR vs WAU SALAAM Uwanja wa Taifa 2pm
2 YANGA vs ATLETICO Uwanja wa Taifa 4pm
Sun. 15th July 3 AZAM vs MAFUNZO Chamazi 4pm
4 SIMBA vs URA Uwanja...
Mkamia: Ngoja na mimi nipate kumbukumbu na Watani zangu na kombe la maana hapa,ile team yetu inaletaga vibao tu huku.
Makala: Kumbukumbu na Kombe kubwa muhimu bwana,aisee mpiga picha usije...
Huu tuuite mwaka wa shetani kwa Simba ama tutumie lugha gani kuuelezea?
Team ya soka ya Simba leo imewasononesha tena mashabiki wake baada ya kukubali kichapo cha bao 3-1 kutoka kwa team ya...
Ngasa anadaiwa ni mnazi wa yanga na hiyo ndiyo sababu ya kutimuliwa pale Azam.
Je ataweza kuhimili mikiki ya mashabiki wa msimbazi iwapo watapigwa bao na wana jangwa naye mchezo ukawa umemkataa?