Rage na Kaburu

Rage na Kaburu

Megawatt B

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
259
Reaction score
69
Siku zote nimesema janga la maendeleo ya klabu ya Simba ni Rage, lakini nimefuatilia na kugundua kuwa janga lingine ni huyu mtu anaitwa Kaburu. Gazeti la leo la Mwananchi lina stori za kujiondoa kwa kocha wa timu ya vijana ya Simba- Selemani Matola. Ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia sababu ambazo Matola amezitoa juu ya uongozi wa Simba hasa Kaburu, tunasafari ndefu mno. Timu hii ya vijana ya Simba ni nzuri mno lakini naona viongozi hawa wapo kimaslahi tu. Nadhani ifike mahala watu kama hawana uwezo wa kuongoza vilabu wasigombee kabisa.
 
siku zote nimesema janga la maendeleo ya klabu ya simba ni rage, lakini nimefuatilia na kugundua kuwa janga lingine ni huyu mtu anaitwa kaburu. Gazeti la leo la mwananchi lina stori za kujiondoa kwa kocha wa timu ya vijana ya simba- selemani matola. Ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia sababu ambazo matola amezitoa juu ya uongozi wa simba hasa kaburu, tunasafari ndefu mno. Timu hii ya vijana ya simba ni nzuri mno lakini naona viongozi hawa wapo kimaslahi tu. Nadhani ifike mahala watu kama hawana uwezo wa kuongoza vilabu wasigombee kabisa.
matola ni bonge la kocha anajua kazi yake na ni mmoja wa kocha ambaye anaheshimika sana katika jamii yetu ya wanamichezo.tumia busara zenu wanasimba msimpoteze huyu jamaa manaake angalieni matunda yake ya timu ya vijana.

 
imefika wakati kaburu nae atembee na baibui kama mtani wake bwana mchunga
 
Da hata mimi imenishangaza kusikia kuwa matola amejitoa, kweli simba kuna tatizo sometimes hawa watu wenye njaa wanasababisha viongozi wasajili 'ready made players'. Simba wana vijana wazuri sana ila kwa sababu ushabiki usio na maana unasababisha wasajili magarasa kila siku kuigiza yanga. Watu wafanye kazi zao hasa washabiki wa simba na yanga wa dar es salaam wanasababisha haya yote
 
ni akili ndigi tu ya kutojua kwamba ile ni timu ya WANACHAMA sio kamouni kuna watu wamezoea kuendesha kampuni kama Kaburu analeta kwenye kitu cha Umoja...........
 
Nimesikia Matola alikuwa anahojiwa leo,huyo Kaburu anaendesha klabu utafikiri ya babake
 
Back
Top Bottom