VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Wakati Barcelona wakipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Valladolid,mahasimu wao katika La Liga Real Madrid wamechezea kichapo cha 3-2 toka kwa Malaga. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Xavi,Messi91 na Tello. Mabao ya Malaga yamefungwa na Isco na Roque Santa Cruz alipachika mawili. Benzema alifunga moja na lingine likiwa la kujifunga. Sasa RM wameachwa points 16 na Barcelona