LIVE:Taifa Stars Tanzania VS Chipolopolo zambia

LIVE:Taifa Stars Tanzania VS Chipolopolo zambia

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Habari za Alasiri wakuu?!

Natumaini baada ya kusherehekea ushindi wa Lema Asubuhi sasa tukutane kwenye uwanja wa Taifa Dar kesho majira kama haya kwa ajili ya kushuhudia Mechi kati ya Taifa Stars na Zambia,ni Imani yangu kubwa kwamba kwa sababu Lema amepata ushindi usiokuwa na mashaka hata kidogo leo hiyo ni ishara tosha kabisa kwamba Stars nao kesho wataibuka na ushindi Dhidi ya Mabingwa wa Bara la Afrika.

Tutasaidiana kuwajuza wenzetu ambao hawatakuwa ndani ya uwanja wa Taifa kupitia humu Jamvini ili nao waweze kuenjoy kama ilivyokuwa kutoka pale mahakamani.

UPDATES:

Jamani kama nilivyosema jana kwamba Ushindi wa Lema na kurejea kwenye Ubunge wake ni ishara tosha kwamba Leo hii Timu yetu ya Taifa Ina kila sababu ya kutumia ushindi wa Lema kuifunga Zambia kwa kwa sababu ushindi wa Lema ni Mwanga wa ukombozi kwa Taifa hili.Naamini tutashirikiana kuleta Taarifa humu LIVE kama ambavyo tulikuwa tunafanya hivyo wakati ule wa michuano ya Challenge kule Kampala Uganda.

Nategemea hapa wakuu kama
Makoye Matale,na ile safu yetu ya FIRST ELEVEN itakuja humu ndani na UPDATES kwa wale ambao hawatakuwepo uwanjani.
 
Kesho lazima kichwa cha mwendawazi Stars kama ccm wakalia kitu cha wazambia

Ni kweli mkuu unajua ushindi wa Lema umewashangaza watu wengi kwa sababu walijua the way jamaa alivyokuwa msumbufu serikali ingefanya juu chini kuhakikisha kwamba hapenyi kwa hiyo baada ya yeye kupenya wengi hawakuamini wamestuka sana,kwa hiyo hata Zambia tutawashangaza sana kesho pamoja na kwamba wao ni mabingwa wa bara hili,na ukizingatia kwamba huu ni mchezo ambao utafuatiliwa na nchi nyingi katika bara hili na hasa zile zilizopangwa kundi moja na Zambia kwenye michuano ya AFCON 2012.
 
Timu ya Taifa mbovu mkuu hili halina ubishi na imefika hapo ilipo kutokana na serikali mbovu ya chama tawala
 
Mtashangaa sana,hapa hapa tunatandikwa bila aibu!tusubiri tuone!
 
Kaseja akidaka tutapigwa 3-0 hiyo haina kuuliza, atutaki watu wa kigoma ni wachawi afu wasaliti.
 
TIMU ya IRAQ pamoja VITA vyooote ni ya 92 DUNIANI sisi ni wa 129 HATUCHEZI kwa MOYO; Ni UBITOZI GOLIKIPA anafungwa MAGOLI ya MBALI... anacheza VIZURI mechi za YANGA na AZAM na hizo hafanyi VIZURI; HAKUNA UZALENDO
 
Mkuu nadhani unayosema ni kweli lakini kwa sababu ni TAIFA STARS tuwashangilie kama timu ya Taifa na kuwapa moyo na kwa sababu tutakuwa uwanjani,tusngalie naamini kila siku sio Jumapili,na mpira hautabiriki unaweza kuta tunawashangaza sana hawa jamaa.
 
Kaseja akidaka tutapigwa 3-0 hiyo haina kuuliza, atutaki watu wa kigoma ni wachawi afu wasaliti.

Mkuu ndomanya tusianze kubashiri hivyo,kubwa tuwape sapoti ili wafanye vizuri,tusikate tamaa,unajua kukata tmaa ni dhambi?!
 
Mechi Kesho Mkuu,tutakuwa live sio leo ushindi wa Lema umenikimbiza nikajua siku imeshakatika mkuu wangu!

Natarajia kuwepo uwanjani mkuu, Nitajitahidi kushusha live covarage kulingana na kinavhoendelea ingawa pale Taifa huwa kuna shida sana ya network...
 
Natarajia kuwepo uwanjani mkuu, Nitajitahidi kushusha live covarage kulingana na kinavhoendelea ingawa pale Taifa huwa kuna shida sana ya network...

Pamoja sana Mkuu nami nitakuwepo kwa hiyo nadhani tutashirikiana kamanda wangu!
 
Mkuu nadhani unayosema ni kweli lakini kwa sababu ni TAIFA STARS tuwashangilie kama timu ya Taifa na kuwapa moyo na kwa sababu tutakuwa uwanjani,tusngalie naamini kila siku sio Jumapili,na mpira hautabiriki unaweza kuta tunawashangaza sana hawa jamaa.

Ndio kila siku tupo na tunayaina na tutaendlea kuwepo SISI ni WAZALENDO!!!
 
Is this LIVE match btwn Taifa Stars VS chipolopolo? or Live politics, .
stars wakishinda mnipige ban wiki moja.

I
 
Ndio kila siku tupo na tunayaina na tutaendlea kuwepo SISI ni WAZALENDO!!!

Wabhejasasana Mwanawane,Kuna Mutu anaitwa Masuke sijui kapotelea wapi,Muzee Chitambikwa,kuna vijana wengi sana watu wa Mupira lakini sijui bado wako njiani hapana waona humu ndani na hasa muzee Makoye Matale,wela you my friend?Lakini nimefurahi kama na wewe Jembe Langu Watu8 tutakua pamoja ndani ya ground,wakora weithu!!!!!
 
Is this LIVE match btwn Taifa Stars VS chipolopolo? or Live politics, .
stars wakishinda mnipige ban wiki moja.

I

Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!! haya Mkuu Kimbojo,lakini msalimie huyo avata wako!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom