Kimbojo
JF-Expert Member
- Apr 12, 2009
- 387
- 54
Nimeangalia matandao wa goal.com kuhusu mechi ya stars na chipolopolo, -zambia - matokeo yanaonesha zambia ndo walioshinda goal 1-0. Hata taarifa zaidi za stars hazipo, na za zambia zimejaa, je hatutambuliki au ni mistake tu , je nani anapaswa kutuma taarifa za timu ya taifa ktk mitandao ya kimataifa?