Kila anachofanya mrisho ngasa,kuna mkono wa yanga!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,448
2,000
TANGU Ngasa *aondoke yanga kumekuwa na tabia ya wanamichezo wanasiasa kumhusisha ngasa na club ya yanga.Tanu akiwa azam hayo hayo,ngasa asipoonekana,kafichwa na yanga.timu yake ikifungwa na yy asipofunga ,wanakwambia anatumika na yanga kuhujumu,leo hii wajinga wankwambia eti yanga ndo wamemzuia asiende elmerekh ..acheni hizo..yanga ni yanga ngasa ni ngasa:mimba:
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,303
2,000
Ngasa hajitambui!kama hataki kwenda sudan awaambie hao El Mereikh kuwa hataki kwenda atabakia hapa hapa!
 
taamu

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,936
2,000
kama angekuwa wa kike angeshajazwa mimba isiyo baba.na babake utafikiri haijui soka ta kusadikika.
 
Mundu

JF-Expert Member
Sep 26, 2008
2,707
2,000
Tatizo walitaka kumuuza kama gunia la viazi vya Tukuyu...

I remember to have read a book, "Three suitors, one husband"
Na dada mmoja alitaka kuozwa kwa tajiri kwa sababu aya uwezo wa huyo Bwana...Wakati yeye alishakuwa na kipenda roho chake, kijana mmoja maskini kiasi, lakini kaenda shule. Akawa analalamika hivi kwa ile mijizee, akiwemo baba yake mzazi

..."You dont want me to discuss matters concerning my own marriage, ...you want to give me to the highest bidder"?

Haya ndio ya Ngassa. Ingawa kule Kampala aliwakubalia El Mereikh, lakini watu wa Simba na Azam walitaka kumfanya Mburula Dar...akagoma! big up Ngassa. Ila wakati umefika kwa wachezaji kuwa na Mameneja Tanzania...inarahisisha mambo sana sana tu...
 
Bumpkin Billionare

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
1,332
0

Nini hiyo hadithi mkuu, mbona kule kwetu Kisaka ilitokea live. Binti analazimishwa kuolewa na kijana kwa kuwa tu kwao kijana ni matajiri na wameahidi makubwa. Wanandugu walipoona hataki wakamshiti, lkn baba mtu akawa haelewi somo mpaka anamtishia.

Siku hiyo baba yake akaitisha kikao cha wanandugu na majirani ili amwambie kwa mara ya mwisho na kama akikataa amkane kuwa sio binti yake tena. Kwenye hicho kikao ndio binti alimaliza mchezo. Alimwambia baba yake: "Kwa nini usiolewe wewe na huyo Bitulo?" Kila mtu alifunika uso na kuenda na njia yake.

Sasa hata hawa wanaosema Ngasa mjinga, kwani wao kinawazuia nini kucheza mpira kama wao wana akili sana?
 
taamu

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,936
2,000
Angejazwa Ngasa anayejua kukataa na kujichunga au nyinyi mnaosadiki kuwa mtu akija na hela tu 'NO' is not applicable?
hili ni tatizo la kukosa wasimamizi kama mameneja,angekuwa na meneja haya yote yasingetokea na kwa sababu hatujui ukweli wowote dhahiri tunatoa povu hapa.angekuwa na meneja HAKUNA AMBAE ANGEJARIBU KUFANYA UHUNI.aaah tanzania ni kama KABURI. na sisi badala ya kujadili mantiki tunaleta usimba na uyanga.yote kwa YOTE hakuna KILICHOKAA SAWA SAWA.NAUKUMBUKE AZAM WALIANZA KUMFANYIA NGASA UHUNI PALE ALIPOIBUSU JEZI YA YANGA IKIWA YEYE NI MCHEZAJI WA AZAM.ELIMU NAYO NI MUHIMU SANA.

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,786

hapa umemaliza kabisaa mkuu maana watu wanatoa point za kinazi tu wewe jiulize ngasa kaenda timu ngapi na zote anarudi tu hapa bongo na Ambani alishasema wachezaji wakitanzania hawajielewi na sio ngasa tu hata hao wengine..
 
cyrilkomba

Member
Sep 26, 2011
69
70
Swala la elimu siyo kwa wachezaji tu..na huyo aliyetaka kumuuza elimu yake ikoje...?
Na kwanini kafukuzwa drfa c kwasababu ya elimu...?

Nitaendelea kusema ngasa kaona mbali ni mara ngapitimu za uarabuni hasa huko sudani zinanyanyasa wachezaji wetu kwa rangi zao...!!
Do u think that pamoja na mshara mzuri ngasa angekuwa na amani ya moyo huko sudani...?

Self determination is what matters and not what others wanmt to make u the way they think...!!
 
Nasolwa

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,828
1,225
Simba zimewauma sana dola za bure walizotaka kuzipata kupitia mgongo wa Ngasa. Imekula kwao hiyo
 
Nasolwa

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,828
1,225
TANGU Ngasa *aondoke yanga kumekuwa na tabia ya wanamichezo wanasiasa kumhusisha ngasa na club ya yanga.Tanu akiwa azam hayo hayo,ngasa asipoonekana,kafichwa na yanga.timu yake ikifungwa na yy asipofunga ,wanakwambia anatumika na yanga kuhujumu,leo hii wajinga wankwambia eti yanga ndo wamemzuia asiende elmerekh ..acheni hizo..yanga ni yanga ngasa ni ngasa:mimba:

Baada ya Osama kuitandika Marekani hapo Septemba/11, Rais BUSH alikuwa akimlaumu Osama kwa kila kitu kinachotokea Marekani. Aliwahi kutaniwa kwa mba hata akiambiwa kwamba mke wake ni mjamzito yeye alijibu "huyu aliyempa mimba lazima atakuwa Osama tu". Uhuni wa Range & co ndio pekee wakulaumiwa kuhusu swala la Ngasa na sio mtu mwingine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom