adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,937
- 5,359
Habari nilizozipata kutoka chanzo changu cha kuaminika sana zinasema Mrisho Ngassa amesaini mkataba wa miaka 2 kuichezea yanga. Ataichezea yanga baada ya mkataba wa mkopo simba kuisha.
Updates: habari nilizozipata punde inasemekana Ngassa amekimbia vipimo. Kwani kiongozi wa el-merreihk anasema aliwasiliana na ngassa kwa simu saa chache na kumtaarifu anakwenda kujua tatizo nn (kukaa mezani na simba na azam) na kama litamalizika. Basi siku ya pili wataondoka kwenda sudan kuangalia hali ya sehemu yake mpya ya kazi. Inadaiwa ngassa akasema hakuna shida. Mwarabu akaendelea na process. Baada ya deal kukamilika kaburu akampigia ngassa akamwambia tumekubaliana na issue imeisha jamaa atakupigia simu muondoke kesho kwenda sudan kwa ajili ya vipimo na mambo mengine. Baada ya hapo Ngassa hakupatikana tena. Mwarabu alimpigia simu siku nzima bila mafanikio. Mwisho deal ikafa.