Unamtaka messi wewe,basi toa 798 billion ukabidhiwe mchana kweupeeeee!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Kwa mujibu wa klabu yake thamani yake baada ya kusaini mkataba mpya utakao mfunga mpaka mwaka 2018 huku akivuna pound 17million kwa mwaka ni pound 312 million.
City na chelsea si mlikua mnamtaka?aya sasa kazi kwenu..
 
duh! Kweli ni balaa!
 
Back
Top Bottom