Serena Williams won the U.S. Open by downing Victoria Azarenka 6-2, 2-6, 7-5The victory is Serena's fourth U.S. Open championship and 15th Grand Slam titleWilliams is now 26-1 since losing in the...
ni tv iliyokuwa ndani ya tv ya clouds,ilizinduliwa kwa mbwembwe nyingi,Mawaziri na watu wenye heshima zao walishiriki kuizindua ,tena kwa vinywaji na pilau ya kutosha,wakadai wao ndo wa kwanza...
Kuna hii tabia ya vyombo vya habari vya hapa nyumbani kupenda kuikweza Simba inapokwenda kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi. Utasikia watangazaji wanavyoipamba na magazeti yanavyoiandika vizuri na...
Juzi vimetoka viwango vya fifa na tanzania imeendelea kuporomoka na moja ya sababu ya kuporomoka ni timu yetu ya taifa kutocheza mechi za kimataifa mara kwa mara.
Kuanzia jana tumeshuhudia timu za...
Wasalaamu wanajamvi,
Nimefuatilia mashindano ya riadha yaliyoisha mwishoni mwa juma Uwanja wa Taifa hapo Dar es Salaam, japo sikuweza kwenda lakini kupitia vyombo vya habari niliweza kujua...
Wednesday, September 5, 2012
NJAA YETU ILIIOKOA MILAMBO KUSHUKA DARAJA BAADA YA KUTEMBEA KWA MIGUU KM 16
Timu ya soka marufu kuwahi kutokea hapa mkoani Tabora...
Pasipo kuweka hdharani mashaka yake kuwa kiwango cha Simba sasa hivi hakiwezi kuwapa changamoto ya mazoezi ya nguvu, Kocha wa team ya Sofapaka aliliambia gazeti 1 la michezo linalotoka katikati ya...
JAMAA ZANGU WATANZANIA JEE HIZO DOLA ELFU HAMSINI ZINAWEZA KULETA MAENDELEO GANI KWA TIMU ZETU ZA TANZANIA ?
Timu za tanzania zinatumia pesa nyingi kusajili wachezaji wa nje ambao baada ya miaka...
Nakubali kuwa kipindi hiki kina umuhimu wake katika kuendeleza na kujadili michezo mbalimba nchini, lakini kinachonikera na kunifanya kupata kizaazaa ni wale wanaoshiriki katika vipindi hivyo, kwa...
Mambo bado magumu kwa Simba kwenye uwanja wa Taifa, ambapo leo inacheza mechi ya kirafiki na Sofapaka, na mpaka muda huu Simba imeshatandikwa magoli 3-0, na kwa hali inayoonekana wanaweza kufungwa...
Wadau wa michezo hususan soka yuko wapi huyu mwanasoka nguli nahodha wa timu yetu ya taifa kwenye miaka ya tisini?Nani anajua alipo kama yuko hai na anajishughulisha na nini?maana ni miaka mingi...
Jamani naomba kuuliza mechi kati ya Tanzania na Morocco katika kutafuta nafasi za World cup itachezwa lini? Kama tunavyojua wikiendi hii ndo mechi za kusaka watakaokwenda World cup zimechezwa...
1.young african
2.coastal union
3.simba sports club
4.african lyon
5.azam fc
6.ruvu shooting.
Nb.msimu uliopita nilisema kati ya yanga au simba angekosa nafasi mbili za juu kwa azam kuchukua...
Baada ya ushindi rahisi dhidi ya team ya mtaani sijui Unga Limited ya Arusha na ushindi wa tabu dhidi ya team dhaifu ya Ligi kuu ya Tanzania Bara JKT Oljoro,uliofatiwa na kulazimisha sare dhidi ya...