African Lyon V Simba leo taifa!!!

African Lyon V Simba leo taifa!!!

Mbona jamaa hawa ,A. lyon, wanafungika kirahisi hivyo? Wako ligi daraja la sita, nini?
 
Mtuambie nani kafunga magoli na sio vipande nusu nusu.
 
Mbona jamaa hawa ,A. lyon, wanafungika kirahisi hivyo? Wako ligi daraja la sita, nini?

Mkuu hujui kuwa lyon ni tawi la simba? Lyon ni kifaransa na maana yake ni lion/simba. Matawi mengine ya simba ni mtibwa,kagera sugar,azam na coastal.
 
Zote basi na Yanga
 
Magamba aka yebo yebo bana, tukichezesha yosso wetu kuwapa uzoefu, wanapiga kelele..... sasa timu inatoa kichapo washaanza matawi, mbona mwja jana tuliwafunua na kuwageuza 5-0 je hicho sio kigezo cha kuwa tawi ..??

Unaona bayern, Man United, na hata Real wanapiga kambi Oman na sehemu nyingine za mitaa hiyo, hawa wanatumiwa kuingiza madawa na wanapelekwa Uturuki, kucheza na timu za daraja la 14, na bado wanafungwa !!! Safari hii tukiwachapa najua watasema kipa wao Barthez ni simba...subirini kitaeleweka tuu hata safari hii mlezi wenu nyuma ya pazia akija kuwa mgeni rasmi kukagua timu kama alivyokagua zile za kule mbugani...!!!
 
Mbona povu jingi? Au mmeshasahau kuwa lyon ilianzishwa na Dewji?
 
mbona povu jingi? Au mmeshasahau kuwa lyon ilianzishwa na dewji?

hili ndilo tatizo la kua na mawazo mgando.itakua mwalimu wako kapata taabu sana kukuelimisha. Ila tu bado elimu haija kukomboa.
 
Kuna watu humu huwa mnajifanya mnajua kila kitu wakati ni vilaza wakubwa! Unajiona genius wakati IQ yako ni ndogo kuliko hata ya Kingwendu
 
Back
Top Bottom