adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,937 Reaction score 5,359 Jan 31, 2013 #1 Mwenye copy ya gazeti la yanga lililoandika Okwi kamwaga wino jangwani kwa mamilioni naomba anisaidie. Shukrani wakuu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mwenye copy ya gazeti la yanga lililoandika Okwi kamwaga wino jangwani kwa mamilioni naomba anisaidie. Shukrani wakuu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 31, 2013 #2 wamemsajiri kutoka timu ya tunisia au..Okwi mwingine
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,843 Reaction score 10,765 Jan 31, 2013 #3 adakiss23 said: Mwenye copy ya gazeti la yanga lililoandika Okwi kamwaga wino jangwani kwa mamilioni naomba anisaidie. Shukrani wakuu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... Mie ninalo la Ngasa kusaini Jangwani.
adakiss23 said: Mwenye copy ya gazeti la yanga lililoandika Okwi kamwaga wino jangwani kwa mamilioni naomba anisaidie. Shukrani wakuu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... Mie ninalo la Ngasa kusaini Jangwani.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,109 Reaction score 110,933 Jan 31, 2013 #4 Hilo gazeti litakua la msaada gani kwako wakati Okwi mwenyewe ni mchezaji halali nadhani wa Etoile du Sahel
Hilo gazeti litakua la msaada gani kwako wakati Okwi mwenyewe ni mchezaji halali nadhani wa Etoile du Sahel
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,587 Reaction score 7,972 Jan 31, 2013 #5 Yanga na Simba are both useless. Hawa wachezaji wanaokuja kuzichezea hizi timu inabidi wapimwe akili.
Yanga na Simba are both useless. Hawa wachezaji wanaokuja kuzichezea hizi timu inabidi wapimwe akili.