DRC haijafungwa;haijasonga

DRC haijafungwa;haijasonga

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,347
Reaction score
26,153
DRC wamemaliza safari yao ya AFCON 2013 kwa sare tatu za Ghana,Niger na Mali. Katika mchezo wao uliokwisha hivi punde,wametoka sare ya 1-1 na Mali hivyo kufikisha alama 3 ambazo hazitoshi kuwavusha kwenda Robo Fainali. Katika kundi hilo,timu za Ghana na Mali zimetinga Robo Fainali huku DRC na Niger zikiyaaga mashindano hayo. Hongereni sana Wakongomani!
 
Wamejitahidi. Tungepeleka wasanii wetu, tungepata aibu kubwa, HONGERENI DRC!!!
 
Hata Morocco pia,Tunisia pia walimaliza bila kufungwa wakatoka miaka ya nyuma afcon nadhani 2010,world cup 2010 new zealand walimaliza bila kufungwa sare zote wakatoka
 
Back
Top Bottom