Manchester United want Victor Wanyama.

Manchester United want Victor Wanyama.

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
_63734602_wanyama.jpg

Celtic's Neil Lennon has valued Victor Wanyama at £25m after it was confirmed that the Kenya midfielder has rejected the offer of a new contract. But the manager insists that Celtic are "under no pressure to sell" the 21-year-old he rates good enough to play for Barcelona.

"£25m," said Lennon when asked to put a value on the player. "Wanyama has the world at his feet. But his feet are here and they won't be going anywhere unless we say so." The midfielder joined Celtic in July 2011 in a £900,000 move from Belgian top-flight club Beerschot, signing a four-year contract.

Wanyama said he had rejected an approach from Aston Villa to move to Celtic Park and his performances for the Scottish champions have led to him being linked with other English Premier League clubs.

Asked if his £25m price tag was realistic, Lennon replied: "I don't know, but it is what I value him at. "I think he is a wonderful talent and he can only get better."

Wanyama was praised for his performance against Barcelona, when Celtic were within seconds of holding the Spanish side to a draw in their Champions League Group G game at the Nou Camp.

Asked if he thought the midfielder was good enough to play for Tuesday's opponents, Lennon replied: "I think he is, yes. "If bids come in, we are under no pressure to sell, which is where we want to be with him at the minute. "We don't have to sell him because he is on a long-term contract."

Lennon expressed disappointment that Rob Moore had gone public to say that the contract offer fell short of his expectations. "Unfortunately, for some reason, Victor's agent and representative has come out and made public that they have turned down a contract," said the Celtic boss.

"I am not sure Victor has turned it down. He has not spoken to me. A month ago, he went on record saying how happy he was at the club and I have no reason to disbelieve that."

"I was actually with his representative in Barcelona on Tuesday and had a brief chat and there was no discussion of him having turned down a new contract.

"So this has come out of the blue and I am disappointed that this has come out in public. We don't want to do our negotiations in public." Lennon said it was up to chief executive Peter Lawwell whether to re-open negotiations. "We may go back to him again, but we have offered him a significant pay rise," the manager added.

"We don't have to do that, but we feel it is reward for his performances. It is credit to the club and the board and I agree with that philosophy of rewarding players for performances."

BBC Sport - Celtic: Victor Wanyama worth £25m, says Neil Lennon
 
The Dutch sold tulips at 10 times the wages of a skilled craftsman at one point during the 1637 tulipmania, as Keynes said "The markets are moved by animal spirits, and not by reason".
 
aiseeeeeeeee babaangu bei yake kama ya haruna bangi bobani
 
Jamaa nimemwona mechi kadhaa na huyu Victor Wanyama ni jembe la uhakika ila I'm not sure kama ana-worth 25 million GBP. Ukiona Sir Alex Ferguson ana-monitor mchezaji basi ujue kuna kipaji hapo. I saw on the Daily Mirror that Wanyama is in Fergie's radar for January or summer transfer window
 
Naunga mkono hoja.
Anastahili bei hiyo, maana wale wachezaji wa England wanaouzwaga ghali halafu sioni hata thamani yao?
 
Wachezaji wetu wa kibongo nao mbona siwasikii? Wako wapi?

Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wako TP Mazembe, Patrick Mghimwa yuko Thailand, Ally Badru yuko FC Suez Canal, Adam Nditi yuko Chelsea ya London, Ivo Mapunda yuko KPL, Awadh Hassan Hafif yuko Al-Hilal ya Qatar, huyu anacheza pia timu ya taifa ya huko though ni mtanzania.
 
Naulizia wachezaji wa ligi na timu za kueleweka yaani EPL, Seria A, Bundesleague etc. na sio league za Thailand ama Congo ama sijui umangani.
Huyo wa chelsea mkuu anapasha bench ama anagombea namba na akina Ramirez?
 
Ligi na timu za kueleweka?
Kwa hiyo league zingine wanacheza madogori au, mbona sikuelewi?
Mazembe walikuwa runer-up wa klabu bingwa ya dunia mwaka 2010, walipozigonga timu ya Korea na Club America, mabingwa wa Copa Libetardores, fainali wakafungwa kimazabe na FC Internazionale.
Wakati mwingine tuache madharau kwa watu wanaojitahidi maishani ilhali sisi bado tunaishi nyumba za kupanga.
Inaonekana hutaki hata kujua hao waliopo Umangani wanafanya nini, ila tu siku moja unataka uwaone La Liga wakiimbiwa nyimbo na washabiki hapo NOU MESTALLA.
Mawazo ya kimasikini, ukipata hela kidogo unakunywa heineken na kusahau kuwa stimu ya Konyagi ya jana ndo ilikupa akili ya kutafuta hela.
 
Nimekuwa very specific kukwambia kuwa I'm interested in top EURO leagues kama EPL, La Liga, Serie A, Bundesleague, Eredivisie etc. na siyo ligi zaumangani, Africa wala USA. Haya mambo ya akina Qatar ama Mazembe ndio yaliwalostisha akina Lunyamila, sitakisikia ligi za uchochoroni. I'm entitled to my own choices and opinions. Hiyo habari ya Konyagi sijui Haineken wewe wajua. Yes, Mazembe na umangani ni ligi za uchochoroni na hazina tija kwa wachezaji wetu kama wanataka top dance. Nataka kusikia mambo ya kama huyo Wanyama, Mariga ama Mikel Obi
You always have to compete with the best!!
 
mkuu EMT jamaa ana worth hiyo bei! juzi katupia bao mbili... ni mtu mbaye anajua where the net is... kiwango anamzidi torres
 
Last edited by a moderator:
Nilimwona jinsi alivyowasumbua Barca ,alikosa goli la kichwa.Majirani zetu wana mabalozi wazuri kwenye michezo
 
kweli yo entitled to yo own choice and opinions, He who knows not, and knows not that he knows not, is a fool, shun him. we mwafrika brodha shobokea za afrika wacha hiyo ukoloni maomboleo ilo kichwani mwako, unadhani hiyo EPL, la liga etc blah blah unozishabikia ziliinuka from nowhere zikafika kule? they had patriotics fans in their own countries man ndo mana wapo huko, na league zetu nchi zetu waafrica hazitapiga hatua zozote kisoka kama aina ya mashabiki wanaojitokeza watakuwa kama wewe hapo, toa hiyo avatar ya kijeshi hapo sijui mjeda gani wewe usie mzalendo, eti mazembe zipo league za uchochoroni, jamani tushabikie league zetu za majumbani waafrika la sivyo hatutapiga hatua kisoka kabisa, we hapo unafahamu first eleven ya many foreign club abroad lkn ya azam fc huijui, angalia wa egypt wabavojitahidi, wasudan, zambia , congo, south africa, they have good competitive leagues, miakakumi mbele watakuwa mbali sana wana mashabiki wazalendo, lets make everything concerning our home priority number one hata kama wanazinguaje, hata mbuyu ulianza ka mchicha, so much to complain kwa sasa ni hayo tu
 
mkuu EMT jamaa ana worth hiyo bei! juzi katupia bao mbili... ni mtu mbaye anajua where the net is... kiwango anamzidi torres

I think Mugabe is a midfielder, tena holding. Anafananishwa vipi na Torres?
 
Last edited by a moderator:
kweli yo entitled to yo own choice and opinions, He who knows not, and knows not that he knows not, is a fool, shun him. we mwafrika brodha shobokea za afrika wacha hiyo ukoloni maomboleo ilo kichwani mwako, unadhani hiyo EPL, la liga etc blah blah unozishabikia ziliinuka from nowhere zikafika kule? they had patriotics fans in their own countries man ndo mana wapo huko, na league zetu nchi zetu waafrica hazitapiga hatua zozote kisoka kama aina ya mashabiki wanaojitokeza watakuwa kama wewe hapo, toa hiyo avatar ya kijeshi hapo sijui mjeda gani wewe usie mzalendo, eti mazembe zipo league za uchochoroni, jamani tushabikie league zetu za majumbani waafrika la sivyo hatutapiga hatua kisoka kabisa, we hapo unafahamu first eleven ya many foreign club abroad lkn ya azam fc huijui, angalia wa egypt wabavojitahidi, wasudan, zambia , congo, south africa, they have good competitive leagues, miakakumi mbele watakuwa mbali sana wana mashabiki wazalendo, lets make everything concerning our home priority number one hata kama wanazinguaje, hata mbuyu ulianza ka mchicha, so much to complain kwa sasa ni hayo tu

Swadaktaaaah!
 
Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wako TP Mazembe, Patrick Mghimwa yuko Thailand, Ally Badru yuko FC Suez Canal, Adam Nditi yuko Chelsea ya London, Ivo Mapunda yuko KPL, Awadh Hassan Hafif yuko Al-Hilal ya Qatar, huyu anacheza pia timu ya taifa ya huko though ni mtanzania.

Inakuaje hapo nilipo-bold?anacheza under 17 au under 21 au timu ya wakubwa?maana ukicheza timu ya wakubwa ya timu ya taifa ya nchi moja maana yake huwezi tena cheza kwa nchi nyingine (maana yake utanzania unakuwa haupo hapa. Embu nifafanulie maana JF ni zaidi niijuavyo ina wataalamu wa kila namna wa kudadavua mambo
 
Kuna govermental nationality na FIFA nationality.
Awadh Hafif hawezi tena kuchezea Tanzania, maana kule anacheza timu ya wakubwa na ameshazidi miaka 21, lakini govermentaly bado ni mtanzania.
Kama tu wale wachezaji wa Brazil ambao huwa wanakuwa na uraia wa Spain...
What left ni kujivunia tu kwamba he's of our origin.
By the way, amechukua kombe la league Qatar mara kadhaa, Ubingwa wa Klabu wa AFC mara mbili akiwa na timu yake hiyo ya Al-Saad
 
Inakuaje hapo nilipo-bold?anacheza under 17 au under 21 au timu ya wakubwa?maana ukicheza timu ya wakubwa ya timu ya taifa ya nchi moja maana yake huwezi tena cheza kwa nchi nyingine (maana yake utanzania unakuwa haupo hapa. Embu nifafanulie maana JF ni zaidi niijuavyo ina wataalamu wa kila namna wa kudadavua mambo

Sorry, anaitwa Ali Afif na sio Awadh. Baba ake ni mchezaji wa zamani wa Simba, Hassan Afif...
 
kweli yo entitled to yo own choice and opinions, He who knows not, and knows not that he knows not, is a fool, shun him. we mwafrika brodha shobokea za afrika wacha hiyo ukoloni maomboleo ilo kichwani mwako, unadhani hiyo EPL, la liga etc blah blah unozishabikia ziliinuka from nowhere zikafika kule? they had patriotics fans in their own countries man ndo mana wapo huko, na league zetu nchi zetu waafrica hazitapiga hatua zozote kisoka kama aina ya mashabiki wanaojitokeza watakuwa kama wewe hapo, toa hiyo avatar ya kijeshi hapo sijui mjeda gani wewe usie mzalendo, eti mazembe zipo league za uchochoroni, jamani tushabikie league zetu za majumbani waafrika la sivyo hatutapiga hatua kisoka kabisa, we hapo unafahamu first eleven ya many foreign club abroad lkn ya azam fc huijui, angalia wa egypt wabavojitahidi, wasudan, zambia , congo, south africa, they have good competitive leagues, miakakumi mbele watakuwa mbali sana wana mashabiki wazalendo, lets make everything concerning our home priority number one hata kama wanazinguaje, hata mbuyu ulianza ka mchicha, so much to complain kwa sasa ni hayo tu

Ligi za uchochoroni zinaboa
 
Back
Top Bottom