:umeona wakati vijana wapo wanaweza kushow v2 vya ukwel...kwnn wacznguke mikoan kuna wachezj wazur 2..bullshit TBF.Ahh hawa TBF au whatever ni wasanii tu kama mlezi wao JK... invest on youth u bsds...kila siku tunasikia sijui Hasheem kaja kufanya clinics, au NBA cares stuff..matunda yapo wapi..? Nimeona picha za mechi za ufunguzi....yaani hawa hawa wenye umri kama wa Nsajigwa na Lunyamila bado wanacheza hadi leo..??? sijui Dullah, Kissoky, ect why...?
:umeona wakati vijana wapo wanaweza kushow v2 vya ukwel...kwnn wacznguke mikoan kuna wachezj wazur 2..bullshit TBF.