Muda mrefu sasa wadau wa soka wamekuwa wakilalamika kiwango kibovu cha soka nchini Tanzania na kutupia lawama kwa viongozi wa vilabu,makocha na wachezaji lakini kuna jambo moja ambalo...
Ubabaishaji mkubwa ndani ya TFF ambao wanadhamana kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania utaangamiza soka letu. Wakati dirisha la usajili lilipofungwa, TFF waliongeza muda wa usajili kitu...
Yanga wanaweweseka sana na rage, kwan sasa wamekuwa ndo waongeaji sana kuhusu rage ooh aondoke simba kwa vile anahiujumu simba. Mbona sisi wenyewe hatuon alipotuhujumu? Simba sio kama nyie yanga...
Leo ngoja niibukie kivingine kidogo,nafikiri kwenye ukweli wacha tuongee ukweli,kuna kila dalili kuwa Watani zetu (Simba S.C) wamelamba dume kwa usajili wao walioufanya dakika za lala salama hasa...
Andres Iniesta,kiungo mchezechaji wa FC Barcelona,ndiye mchezaji bora wa Ulaya kwa msimu wa 2011/2012. Amejizolea alama 18 huku Lionel Messi na Christiano Ronaldo wakijipatia alama 17 kila mmoja...
Wafuatao wamehama timu zao za zamani
Rafael Van Der Vaart
Huyu ametoka Totternham kajiunga na Hamburg Fc ya German kwa miaka 3
Maicon
huyu nae ameenda Mancity...
yan hili jukwaa limetawaliw na football tu!!! mi naomba leo tucheze michezo mingine!! kama rede kwa girls!! tushindane kuvuta kamba!! kombolela! voolleyball, netball! na mingineyo!!
msisahau kuvaa...
Mchezeji wa kimataifa wa Tanzania mbwana samata anayekipiga katika timu ya tp mazembe ameendelea kuwa mwiba mkali kataka ligi kuu ya demokrasoia ya kongo. Samata, akiingia kutokea benchi katika...
Tumeona watoto wa Catalunya(La Masia) wakipata ushindi wa goli moja dhidi ya Valencia kupitia Adriano kutoka
kwa pasi ya Messi katika uwanja wa Nou Camp kufanya Barcelona kuwa mbele kwa pointi 9...
Ronaldinho is not dead or a very dead Ronaldhinho plays ball at Atletico Mineiro Internancional Brasil Seria A game. Ronaldhinho dead in car crash news is a hoax.
The soccer star of Atlético...
A Robin van Persie hat-trick saw Manchester United come from behind twice to beat a resilient Southampton side 3-2 in Sir Alex Fergusons 1000th league game in charge.
Don't Miss...
Amefunga bao moja kati ya mawili walipoishinda Al Ahli ya Misri hivi punde. Bao lingine limefungwa na Canda. TP Mazembe imejihakikishia nafasi ya robo fainali ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Ni...
Natafakari vyanzo mbalimbali ambavyo ikiwa vilabu vyetu vitavitumia vizuri huenda vikaondokana na ombaomba, Klabu ya Simba ilitangaza kukamata mtu yeyote anayeuza jezi za timu hiyo bila ya kibali...
Hajafa na binafsi yeye mwenyewe anazishangaa hizi taarifa.By the way he is not a dead man!
Yeye ni mzima na sasa hivi yupo club anapata mvinyo na huku toto zimemzunguka kama kawaida yake.
Baada...
Leo simba imeshuka dimbani kumenyana na City stars ya Nairobi. Mpambano huo unafanyikia jijini Arusha ktk uwanja wa Amri Abeid. Hii ni mechi ya pili kuwakutanisha Simba sc na City stars ambapo ktk...
Hii, ni ktk buruni wale watoto wa Arsenali hatimae wamepata nafuu baada yakusumbuliwa nahomakali yakukosaushindi' nakocha wao kukosolewavikali navyombovya habari, kwingineko namashabiki wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.