Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Dakika 7 zijazo mtanange utaanza.Nawaona wachezaji wanajiandaa kuingia uwanjani.Leo ndio leo...
Si amepewa kadi lakini Mkuu?Faulo ya Pique angefanya beki wa Madrid ingekua red card
Si amepewa kadi lakini Mkuu?
Faulo ya Pique angefanya beki wa Madrid ingekua red card
I must agree...ndio mambo ya marefa tena!Yellow? That was a sending off offense mkuu!
Niko Jukwaa la kijani hapaAiseeeee babaangu mtowa mada umekaa jukwaa gani mbona sikuoni
Sana...anapanda na kushukaEssien anaonyesha kiwwngo cha juu
Endelea kutujuza kaka au bado mapumziko?Mapumziko bado hakijaeleweka, lkn hii ni kati ya El clasico nzuri na zinazovutia sana kuangalia, timu zinafunguka na nafasi zinatengenezwa tofauti na wengi walivyodhani kuwa mechi itaelemea upande mmoja.