F.A Cup Manchester Utd vs Fulham

F.A Cup Manchester Utd vs Fulham

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
56,931
Reaction score
46,438
Dakika ya 4 Man utd wanaongoza bao 1-0 Giggs kafunga kwa penati.
 
Dakika ya 7 mechi bado ngumu mpira unachezwa sana katikati ya uwanja.
 
Dakika ya 11 Fulham wanapata kona lakini mabeki wa Man wanaokoa hatari.
 
mfarisayo, dakika ya 15 Nani anakosa goli la wazi.
 
Last edited by a moderator:
Dakika ya 17 Man wanapata kona mabeki wa Fulham wanaokoa hatari wakiongozwa na Brede Hangeland.
 
Dakika ya 20 Wayne Rooney anakosa bao la wazi.
 
Nafasi ya wazi Nani anapoteza dakika ya 24.
 
Anderson anatakata sehemu ya kiungo.
 
Dakika ya 31 Riether anakosa bao shambulizi la kwanza la Fulham.
 
Dakika ya 38 Man Utd 1-0 Fulham.
 
Robin Van Persie (RVP) yupo benchi.
 
Mapumziko dakika ya 45.
 
Mpira umeanza dakika 46.
 
Rooney tena anakosa bao anampa kipa.
 
Back
Top Bottom