Wakati kesi dhidi yake ya kutaka kumhonga golikipa wa Mtibwa Sugar Shaban Kado ikiwa haijulikani majaaliwa yake,Ulimboka Mwakingwe amehusishwa tena katika sakata ya kumshawishi beki wa Yanga...
SIMBA SC itaiwakilisha Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani na kwa sasa inakabiliwa na jukumu kubwa la kutengeneza timu yake hadi kufika Januari wawe wamekamilika.
Pilika za kutosha na...
Katika hali ya kuonyesha wamejizatiti kuchukua ubingwa wa Ligi kuu bara bingwa wa A.MASHARIKI YANGA leo wameanza vizuri kwa kuchukua point moja dhidi ya timu ngumu(iliyopanda daraja msimu huu) ya...
Wakati Simba wako Sudan kucheza na Al Ahly Shandy. Katika kuwatoa mchezoni Simba Shandy walitumia fitna nyingi sana ikiwemo kuwalaza Simba katika hostel. Hali iliyopelekea Rage kulala reception...
Mabao mawili ya Messi,moja la Adriano na moja la David Villa yalitosha kuipa ushindi Barcelona wa 4-1 nyumbani kwa Getafe. Bao la Getafe ni la kujifunga la beki Javier Mascherano. Wakati...
Kweli soka letu litazidi kurudi na kamwe halitasonga mbele. No wonda kila siku tunazidi kudidimia ktk viwango wa fifa. Inatia aibu na haiingii akilini kamati ya sheria ya tff kutofuata sheria na...
Kenya's Kayange to lead Bristol rugby team
By AYUMBA AYODI sayodi@ke.nationmedia.com
Posted Tuesday, September 11 2012 at 19:47
In Summary
The 30-year-old centre, who captained Kenya to...
Kama kuna mtu ameandika historia mbaya ya uongozi wa soka hapa nchini ni huyu bwana. Katika kipindi chake akiwa kama katibu ameshindwa kuwa thabiti na kusababisha migongano ya hapa na pale kati ya...
MWENYEKITI wa Simba SC, jana amekaririwa na vyombo vya habari nchini akimshutumu mtoto wa kigogo kimoja nchini kumshinikiza Rais wa APR ya Rwanda, Meja Alex Kagame ampeleke Yanga, beki Mbuyu...
Hivi kweli vilabu vyetu vinanufaika na style hii ya udhamini wa hawa wawekezaji kweli ndugu zangu..??? Menadhani faida wanayoipata Voda in return ni kubwa kuliko hili changa la macho zinalopigwa...
Wadau wa soka, kwa mujibu wa uelewa wangu, natambua tofauti ya nyuzi za longitudo 15 ni sawa na saa 1. Uingereza (nyuzi 0), tz (nyuzi 45 masharik) tofauti, inakuwa masaa ma3, kwa hiyo unategemea...
The curtain raiser to the new season produced an enthralling contest. This was a game that was both entertaining and tactically interesting. Azam started the brighter of the two teams managing to...
Mpaka muda huu klabu zote 14 za ligi kuu hazijapewa pesa za usafiri jezi nk. Kuna umuhimu gani wa ligi kuanza wakati hata mkataba wa udhamini haujasainiwa?? Je vodacom wataweka mabango yao ilhali...