Julio: Point zetu tatu wanazo Yanga.

Julio: Point zetu tatu wanazo Yanga.

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
8,169
Reaction score
3,360
Kocha wa Simba Julio amejinasibu kesho timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya maafande wa JKT huku akienda mbali zaidi kwa kusema gap la point sita Simba ilizozidiwa na Yanga ambao ni mahasimu wakubwa wa Simba tatu wanazo Yanga na nyingine tatu anajua wazi ni lazima watafungwa na timu nyingine yoyote na wao kuendelea kushinda.

Kwa wale wapenzi wa sports mnaisemeaje kauli ya Julio kuwa Yanga kuifadhia Simba point tatu????

Huyo ndiyo Julio kocha asiyeishia maneno.
 
tegete lazima 'awatie' kidole cha macho!

Kwa hiyo Julio anaota mkuu??? Kumbuka Julio ndiyo kocha ambaye ana historia ya kuifunga sana Yanga. Alishawahi kusema Yanga ni kama mwembe ni kwenda kujitikisia tu kisha unadondosha maembe na kweli akawafunga!
 
Mtoto wa watu huyo,akishapakatwa anaropokga lolote
 
Mi siipendi Simba lkn nafurahishwa sana na mbinu za Julio kutumia maneno ya karaha kwa wapinzani kama hamasa kwa vijana wake. Ni vizuri kujifariji lakini moyoni anajua wazi kuwa kuikamata Yanga kwa sasa ni sawa na Madrid kuota ubingwa mbele ya Barca.
 
Kocha wa Simba Julio amejinasibu kesho timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya maafande wa JKT huku akienda mbali zaidi kwa kusema gap la point sita Simba ilizozidiwa na Yanga ambao ni mahasimu wakubwa wa Simba tatu wanazo Yanga na nyingine tatu anajua wazi ni lazima watafungwa na timu nyingine yoyote na wao kuendelea kushinda.

Kwa wale wapenzi wa sports mnaisemeaje kauli ya Julio kuwa Yanga kuifadhia Simba point tatu????

Huyo ndiyo Julio kocha asiyeishia maneno.

mbona serengeti imemshinda anaanza tena kujipendekeza simba sasa hivi watu wanawafunga kuanzia simba a mpaka z..
mgonjwa huyo..
 
Julio huwa anatumia mbinu zile zile za Ferguson za kutoa kauli kama hizi .. na hizi mbinu zanafanya kazi sana tu.
 
Yanga walishawahi kula kona kisa julio alisema wakitia mguu wanakula goli 3. Madega kuona soo hakuingiza timu uwanjani. The same 'll be happenin ths year

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kweli ee!kuweni kama mancity au madrid wazeni msimu ujao tu yanga hamuwadaki,
 
Yanga walishawahi kula kona kisa julio alisema wakitia mguu wanakula goli 3. Madega kuona soo hakuingiza timu uwanjani. The same 'll be happenin ths year

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hujui kitu wew, yale yalikua makubaliano timu zote zisingie uwanjani,.. Njaa zenu ndio zilizowapeleka uwanjani
 
Hahahaha makubaliano alifanya nani n nani? Ile Simba ilikuwa balaa wewe hata yanga wenyewe wanalikumbuka hilo. Acha ubishi usio na tija.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahaha makubaliano alifanya nani n nani? Ile Simba ilikuwa balaa wewe hata yanga wenyewe wanalikumbuka hilo. Acha ubishi usio na tija.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kwa taarifa makubaliano yalikua hayapo hata pre-match haikuepo,.

Bahati mbaya mtani akawa ananjaa sana sa7 yanga imetawanya wachezaji mtu na njaa zake akaenda uwanjani.
 
Back
Top Bottom