Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,843
- 10,768
Wakuu naweza kuwa nimekosea, lakinii mara zote mida ya saa 9 jioni televisheni ya Star huwa inaonesha marudio ya mechi za vodacom premier league. Kitu cha kushangaza ni kwamba mara zote huwa ni mechi zinazoihusisha Simba tu. Au Simba ina mkataba maalum na Star tv?