El Clasico ndani ya DSTV 30/01/2013.

El Clasico ndani ya DSTV 30/01/2013.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Haya tena wanaJF tiririkeni hapa. Jana palikuwa na El Clasico ya Copa del Rey, niambieni DSTV waliionesha channel ipi?
Tupia kwa mjadala wa kujenga.
 
Kwani ni lazima dstv waonyeshe kila el clasico hata kama ni kombe la mbuzi?

In a broad view,hivi kuna sheria inayomtetea mteja endapo watu kama dstv hawataonyesha kile wateja wanatarajia?wanasheria tiririkeni
 
Duh kaka umeenda mbali mno, mpaka sheria! Anyway nilikuwa naomba kulendeleza mjadala hapa wa kuona ni jinsi gani DSTV inavoikuza EPL, si vinginevo. Usiuufunge/potosha mjadala huu tafadhari.
 
ok kiongozi ngoja tujadili hapo,ni kweli hilo halina ubishi,kifupi ulimwenguni kote media zimekamatwa vema na marekani na uingereza!uk wao wamekomaa zaidi na kujipaisha kisoka,ukiona timu yao haifanikiwi sana usidhani juhudi zao hazilipi!zinalipa mno ndio maana ka-nchi hako kadogo ka-uingereza kana timu 7 katika timu 10 bora tajiri duniani,na timu 13 katika 20 bora!
 
Walionyesha kupitia SS6,
Sijui nitaeleweka, mechi hiyo unawezaje kuilinganisha na ile ya England iliyokuwa ikioneshwa SS3 kati ya Arsenal na Liverpool?
Kumbuka wale wanaotumia cable wliisha zowea SS3 tu kwa ajiri ya SOKA! Tunaposema DSTV wanaikuza EPL wengine wanabisha.
 
ok kiongozi ngoja tujadili hapo,ni kweli hilo halina ubishi,kifupi ulimwenguni kote media zimekamatwa vema na marekani na uingereza!uk wao wamekomaa zaidi na kujipaisha kisoka,ukiona timu yao haifanikiwi sana usidhani juhudi zao hazilipi!zinalipa mno ndio maana ka-nchi hako kadogo ka-uingereza kana timu 7 katika timu 10 bora tajiri duniani,na timu 13 katika 20 bora!
Inatakiwa sisi Waafrica tupembue ipi pumba na ipi chuya, na hilo DSTV waliliona ndio maana EPL lazima iwe SS3 iliyozoeleka hata kama pana mechi ya kipuuzi.
 
Yatupasa tujiulize ni kipi kilichomfanya Kaka, Gadiola na sasa Beckham kutojiunga na EPL japo tulisikia fununu za wao kwenda huko? Au ni vyombo vyetu vya habari kutengeneza pesa kwa kubumba habari kuhusiana na England!
 
What's your point?
 
Back
Top Bottom