Watangazaji wa mpira wa bongo unazi mtaacha lini

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
3,299
Reaction score
477
Huyu mtangazaji anaetangaza mpira kati ya yanga na mtibwa mnazi sana yani yanga imefungwa kanyong'onyeaaaaaaaaa!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mtangazaji wa redio gani?
 
Back
Top Bottom