heavyweight signing...@ Final AC Milan make it

heavyweight signing...@ Final AC Milan make it

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,871
klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni ambayo pia ndio klabu iliochezewa na nyota wengi zaidi na pia ikiaminikia kuwa ndio klabu inayopendwa na kila anaependa Soka yaani AC Milan imefanikiwa kumsajili mshambuliaji mwenye uwezo wa ajabu katika kusakata kabumbu hapa namzungumzia Super Mario Balotenga ama Mario Balotelli na kumpa jezi namba 45 mgongoni.

Shamra shamra zilirindima katika mitaa ya jiji la Milan baada ya kutua kwa mshambulia huyo mwenye skills, uwezo wa kufunga kwa kichwa, miguu, paja, kisigino, kifua nk nk nk...

Na huko katika barabara ya Turati inayoingia katika Dimba la Sansiro vipeperushi na mabango ya kumsifu na kumtukuza kiumbe huyo yalionekana yakipeperuka kama vile ni kipindi cha uchaguzi.

ikumbukwe kuwa Milan ni timu inayojengwa.
Na kwa siku za usoni inataraji kuwa na kikosi hiki...
Gabriel (19)
Ignazio Abate (26)
Mattia De Sciglio (20)
Cristian Zapata (26)
Kevin Constant (25)
Kevin-Prince Boateng (25)
Riccardo Montolivo (28)
Antonio Nocerino (27)
M'Baye Niang (18)
Mario Balotelli (22)
Stephan El Shaarawy (20)

Forza Milan...
Sempre milan...
 
Kikosi hiki kinatisha Mkuu.Hatoki mtu hapo.Lakini,Abate kafika miaka hiyo Mkuu GANG?
 
Last edited by a moderator:
Kikosi hiki kinatisha Mkuu.Hatoki mtu hapo.Lakini,Abate kafika miaka hiyo Mkuu GANG?

Peter jamaa amefikia umri huo...
Juve, Inter na vilabu vya nje ya Italia vimeanza kujambajamba baada ya kuona muundo wa Milan ya Baadae itakavyokuwa.

Forza Milan
 
Last edited by a moderator:
Hakuna chochote hapo, msubiri drama tu na kuuza sana magazeti, the player is unmanageable!
 
mmelamba galasa, nambari 45!

Nyie ndio mmekariri namba tano mgongoni anavaa Beki.
Matokeo yake Redondo na Zidane wakaja kuwapasha na kuwasuta.
Robinho anavaa namba 70.
Mt: Dinho alivaa namba 80
De Lima alivaa namba 99...

Haya njoo na lingine.
 
Hakuna chochote hapo, msubiri drama tu na kuuza sana magazeti, the player is unmanageable!

Waswahili wanasema upele humpata asie na kucha...
Inter na Man City hawakuwa na kucha, na ndio maana majanga yakawakuta.
Mario amekuja nyumbani kwao.
Mario amekuja itumikia timu aliopata kuipenda tangu mdogo.
Mario amekuja katika Royal Family.
Mario amefika nchi ya ahadi.

Waja wa Mola limewachooma.
 
kikosi hiki...
Gabriel (19)
Ignazio Abate (26)
Mattia De Sciglio (20)
Cristian Zapata (26)
Kevin Constant (25)
Kevin-Prince Boateng (25)
Riccardo Montolivo (28)
Antonio Nocerino (27)
M'Baye Niang (18)
Mario Balotelli (22)
Stephan El Shaarawy (20)

Forza Milan...
Sempre milan...

Hiki kikosi cha Berlusconi acha tu ... kinakaribia kile cha miaka ya 90 kilichotawala Ulaya cha akina Baresi, Maldini, van Basten, Gullit, Rijkaard, Donadoni, Albertini, etc.
 
Waswahili wanasema upele humpata asie na kucha...
Inter na Man City hawakuwa na kucha, na ndio maana majanga yakawakuta.
Mario amekuja nyumbani kwao.
Mario amekuja itumikia timu aliopata kuipenda tangu mdogo.
Mario amekuja katika Royal Family.
Mario amefika nchi ya ahadi.

Waja wa Mola limewachooma.

Probably, probably not!
 
Hiki kikosi cha Berlusconi acha tu ... kinakaribia kile cha miaka ya 90 kilichotawala Ulaya cha akina Baresi, Maldini, van Basten, Gullit, Rijkaard, Donadoni, Albertini, etc.

Waswahili bana!
Sasa hapo wa kumfananisha na hao greatest ni yupi? Unamjua baresi, basten na gullit weye? Au unasimuliwa tu? Usifananishe usingizi na kifo bana, ukifa hauoti na wewe unaota usiku huu!
 
Waswahili bana!
Sasa hapo wa kumfananisha na hao greatest ni yupi? Unamjua baresi, basten na gullit weye? Au unasimuliwa tu? Usifananishe usingizi na kifo bana, ukifa hauoti na wewe unaota usiku huu!

Soma kwa makini kabla ya kuhara hadharani! lini kukaribia = kufanana?
 
Hiki kikosi cha Berlusconi acha tu ... kinakaribia kile cha miaka ya 90 kilichotawala Ulaya cha akina Baresi, Maldini, van Basten, Gullit, Rijkaard, Donadoni, Albertini, etc.

Wewe mtu unajuwa sana Soka...
Hakika mtu kama wewe ndio naweza kukaa na kuzungumza maswala ya Soka.
 
Waswahili bana!
Sasa hapo wa kumfananisha na hao greatest ni yupi? Unamjua baresi, basten na gullit weye? Au unasimuliwa tu? Usifananishe usingizi na kifo bana, ukifa hauoti na wewe unaota usiku huu!

Hata Jando lilikuwa Govi...
So vuta Subra sheikh.
 
"Balotelli's medicals will take place [on Wednesday]
at Busto Arsizio and Milanello", while his first
training session with the team will take place on
Thrusday.
 
MILAN PLAYED another friendly Thursday game
at training center Milanello and today Milan
took on U.S. Darfo Boario S.S.D from the Serie D.
M’Baye Niang scored twice in the first half of the
game with Kevin-Prince Boateng and Robinho
making it 4-0 on half time. Coach Max Allegri made some changes in the second half, putting
on Stephan El Shaarawy and new signing Super
Mario Balotelli on among others. Balotelli found
the net one time and assisted two of El
Shaarawy’s three goals against Darfo Boario.
Bojan Krkic also scored two goals and the final score was 10-0. Milan take on Udinese in three
days.
 
Waswahili bana!
Sasa hapo wa kumfananisha na hao greatest ni yupi? Unamjua baresi, basten na gullit weye? Au unasimuliwa tu? Usifananishe usingizi na kifo bana, ukifa hauoti na wewe unaota usiku huu!

Hahahaha.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom