Ujio wa timu ya Cameroon kuwanufaisha Machangudoa mashuhuri

Ujio wa timu ya Cameroon kuwanufaisha Machangudoa mashuhuri

kazikubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
597
Reaction score
151
Imeelezwa kuwa kina dada mashuhuri na waandamizi katika fani ya uchangudoa wa kimataifa hapa nchini wapo kwenye mchakato mkali wa kujiweka sawa kwa kufanya shopping za nguvu kwa nia ya kuwanasa wachezaji wa timu hiyo. Machangu hao kiwango inadaiwa kuwa ni watangazaji wa vipindi mashuhuri vya TV na Redio, wanamitindo na wabunifu wa mavazi nchini, wasanii na wajasiriamali mashuhuri. Machangu hao huwezi kuamini jinsi walivyoilazimisha jamii iwaone ni watu wema lakini ni hatari sana.

Haya nimeyasikia kinondoni leo kwa vijana wakiwataja wahusika kwa mafumbo huku wenyewe wakielewana na kututoa kapa siye tusiofahamu hali hiyo. Wanajamvi wajuvi tutajieni hao kinadada ili tusije wavamia kwa nia ya kuoa au kuwa nao kimapenzi.
 
Back
Top Bottom