zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,239
- 3,939
Nimepata habari saa hizi kuwa kuna mchezaji wa zamani wa Simba Sports Club enzi ikijulikana kama Sunderland Sports Club, Asmata, amefariki leo hii na kuzikwa leo hii makaburi ya Kisutu aka "Wimbley".
Poleni wazee wa Sunderland, poleni wazee wa Simba, poleni wapenzi wa Simba na poleni wapenzi wa michezo.
Wazee wenzangu watamkumbuka Asmata Khan. Naomba mwenye habari au picha zake zaidi atuwekee.
Inna Li Llahi wa Inna Illahi Rajiun.