Messi bila hawa hawezi kitu!

Messi bila hawa hawezi kitu!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Messi alitongoza demu akaingia naye ghetto kwake.Yule demu akaingia bafuni kuoga.
Aliporudi toka bafuni akapigwa na butwaa kumuona messi akiwa na washikaji wengine wawili kitandani.
Yule demu akahoji wale ni akina nani na wako pale kwa ajili ya nini?.
Messi akajibu hawa ni Xavi na Iniesta,si unajua siwezi lolote bila hawa jamaa!
 
Companero, mourinho, mwana mtoka pabaya njoeni muisome hii thread
 
Mwenye kurusha ngumi arushe!
 
Back
Top Bottom