Ncca basketball march madness

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,883
6,314
Heshima kwenu basketball fans all over the world,,, March ndo hiyo imeshasogea na Basketball competition yenye ushindani kuliko zote duniani ndo inaanza kuchanganya..

ESPN haikaliki sasa, USA yote ipo on fire watu wapo busy wanajaza Brackets kujaribu bahati zao kwenye predictions wakiongozwa Na OBAMA ambaye miaka yote ya uraisi amekuwa na gundu kila mwaka brackets zake anazojaza zinabuma...

Wadau mnaoelewa vizuri hii kitu leteni mawazo ya this season nani watakata nyavu as Champions,, NBA draft Top picks itaongozwa na college gani...

On my views University of Florida watafika final four bila zengwe maana nimecheki game zao mbili tatu wana Team work kali sana.. Bila kusahau Indiana yule Zeller asipokuwa Most oustanding player sijui...

Naona jana ESPN Carmelo Antony anajaza brackets kwa chuo chake Syracuse, huku Michael Jordan nae anakipa shavu chuo chake alichosoma university of North Calorina as new Champions... Under dogs Buttler university nao kama kawaida wameanza sherehe za kurudi Final Four for 3rd time in 4 years...
Huku John Calipari coach wa Kentuky akijitamba kwamba Starting 5 anataka ndo waje kucover Top 5 pick za NBA draft... Claig mac dermont from Creighton university last year First team all america candidate simpatii picha atavyokomaa as ameahidi atarudi chuoni tena for his 3rd year so lazima atatisha sana kujipa uhakika wa kupata Top pick kwenye NBA draft...

Between 64 teams zinazoshiriki NCCA ambazo zote ni Champions wa Conference tofauti huko USA nani atachukua NAtional Championship,,,,Mashabiki wa Basketball mnakaribishwa kutoa pick zenu mapema kabla mambo hayajanganya mwisho wa siku tujue nani mtabiri wa ukweli...

Huko ndipo NBA legends wanalipoacha heshima za kutosha.. As Jordan enzi za North calorina,, Dwayne Wade enzi za Marquete university, Carmelo antony enzi za Syracuse, Blake Gliflin enzi za Oklahoma state ( nazani mnaikumbuka ile final four ambayo hata mwanetu Thabeet alikuwepo) na wengineo kibao... Huku madogo wanakaza sana as Bila kutokelezea huku NBA draft inakupitia pembeni na ndoto zinapotea...
 
Back
Top Bottom