Matokeo ya mechi ya azam huko liberia tafadhali

Matokeo ya mechi ya azam huko liberia tafadhali

Kimagege

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
283
Reaction score
88
Mwenye acces na matokeo atujuze pliiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzz
 
azam ameshinda 2 kwa 1
Libolo nalo limemkamua zamalek 2 kwa 1 angola
 
...atleast: Azam FC imetutoa kimasomaso wa-Tanzania.
 
Simba wamefanya mapinduzi, sasa ngoja msomali arudi alikoenda kutibiwa pumu muone kama hakuenda klabuni na bastola
 
sasa mkuu hiyo live umeiweka ya nini? unajua matumizi yake hapa jf?. mia
 
Back
Top Bottom