Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
Sioni haja ya malumbano wakati huu wakutafuta nafasi ya kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia mwakani kwasababu zifuatazo
1 tuko nafasi ya pili kwenye kundi letu
2wapinzani wetu morrocco ni wazuri
3mtawakatisha tamaa na kuwaduwaza wazamini wa taifa stars
4tutaendelea kuporomoka kwenye viwango vya fifa
5 tuwekeni uzalendo mbele na kuwa tangaza wa chezaji wetu kimataifa(hii nikama tutafanikiwa kufuzu au kuingia raundi ya mtoano)
6 tenga na serikali malizeni tofauti zenu mtupe raha wa TANZANIA