Mapinduzi yafanyika klabu ya simba uongozi waondolewa!!!

Mapinduzi yafanyika klabu ya simba uongozi waondolewa!!!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
habari ambazo zimetapakaa kwa sasa ni kwamba ule mkutano ulioitishwa na wanachama wa simba umekubaliana kuondoa uongozi uliopo madarakani wa mh.adeni rage kutokana na sito fahamu katika timu hiyo kongwe ya soka hapa nchini.TIMU ITAKUWA CHINI YA MALIKIA WA NYUKI BI,RAHMA AL KHAROOS PAMOJA NA HANS POPE.(PICHA NYINGINE IYO INAANZA SIMBA).
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Mhh rage anaumwa nyie mnafanya mapinduzi!hivi nyie wanasimba mngekua wana arsenal sii mngesha uwana wote,kufungwa timu ni sehemu ya mchezo
 
Ndo mama mpira wa bongo kuja kiendelea ni ndoto hii yote ni kuendekeza mambo ya majungu na ushirikina
 
Rage tangu uonyeshe bastola kako na juzi kushiri kumpiga kada mwenzangu nakuchukia sana kama kweli unaumwa uliko rip...
 
Mhh rage anaumwa nyie mnafanya mapinduzi!hivi nyie wanasimba mngekua wana arsenal sii mngesha uwana wote,kufungwa timu ni sehemu ya mchezo

ARSENAL wameshinda mechi nyingi kwenye ligi ya england kuliko timu yoyote nyuma ya man u we arsenal ipi unayolinganisha na simba?
 
Mhh rage anaumwa nyie mnafanya mapinduzi!hivi nyie wanasimba mngekua wana arsenal sii mngesha uwana wote,kufungwa timu ni sehemu ya mchezo

Hao waliofanya mapinduzi wanazijua sheria? Rage bado ni kiongozi wa Simba, ngoja apone homa ya LIBOLO inayomsumbua, atakuja kuwasambaratisha na huyo malkia wa nyuki hadi watashangaa!
 
mapinduzi haramu hayo .... rage bado .ni kiongozi wetu ...
 
Watafanikiwa iwapo tu watakuwa wamefanya kwa mujibu wa katiba yao, vinginevyo Rage atalia na mtu hapo.
 
Kama katiba imeruhusu sawa ila ukweli ile timu ilishamshinda akaendeleze longolongo zake kwenye siasa lakini wasiishie kufanya mapinduzi pia wachunguze pesa za club ikiwemo sakata la mhasibu kuibiwa pesa ya uwanja inawezekana ndio chanzo cha wachezaji kufanya mgomo baridi
 
Malkia wa Nyuki aliletwa Simba na Mhe. Rage, leo mnasema mmemtimua Rage, mkimtimua Mhe. Rage kumbuka na Malkia wa Nyuki naye mmemtimua.
 
habari ambazo zimetapakaa kwa sasa ni kwamba ule mkutano ulioitishwa na wanachama wa simba umekubaliana kuondoa uongozi uliopo madarakani wa mh.adeni rage kutokana na sito fahamu katika timu hiyo kongwe ya soka hapa nchini.TIMU ITAKUWA CHINI YA MALIKIA WA NYUKI BI,RAHMA AL KHAROOS PAMOJA NA HANS POPE.(PICHA NYINGINE IYO INAANZA SIMBA).

Jamani tengenezeni mapema, maana Mei ikifika ndo mnaweza mkasambaratishana kabisa.
 
Mhh rage anaumwa nyie mnafanya mapinduzi!hivi nyie wanasimba mngekua wana arsenal sii mngesha uwana wote,kufungwa timu ni sehemu ya mchezo

Dah!!!!!!!!!!!,kaka achana na Arsenal ukiitaja wengine tunaumia kweli!!hili litim let bwana ni tatizo.basi tu.

Lakini kwa suala la Simba mi sioni ajabu kwa sababu hii ndiyo kawaida ya Simba na Yanga,kwa sababu mwaka huu Simba kaboronga basi kuna ujingaujinga ndani yake ambao hata hauna maana,si unakumbuka hata mwaka jana Yanga walipoboronga kulikuwa na maujinga hayahaya yaliyopo simba.wasla usipoteze muda wako achana nao hawa ni kawaida yao subiri mwakani wakati simba watakapokuwa wanauchukua ubingwa wa ligi utawaona yanga watakavyokuwa.
 
Hao waliofanya mapinduzi wanazijua sheria? Rage bado ni kiongozi wa Simba, ngoja apone homa ya LIBOLO inayomsumbua, atakuja kuwasambaratisha na huyo malkia wa nyuki hadi watashangaa!

We Makoye Matale LIBOLOO????????!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom