Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,735
Tuliambiwa ndio mrithi wa Pele. Ila hajafika hata robo ya Ronaldo Lima au hata robo tatu ya Ronaldinho Gaucho. Kwa mnaojua hesabu za sehemu mnaelewa nani zaidi hapo. Ni wachezaji kama kina Dogo Robinho 'Debe Tupu' ambao AC Milan inapaswa kuwatosa haraka sana!
HeriPato na Kaka wangekuwepo jana. Kama inataka Wabrazili wa maana basi Milan imsajili mrithi wa ukweli wa Pele. Namaanisha Neymar!
HeriPato na Kaka wangekuwepo jana. Kama inataka Wabrazili wa maana basi Milan imsajili mrithi wa ukweli wa Pele. Namaanisha Neymar!