Ukweli Kuhusu Barcelona Na Ushindi

Ukweli Kuhusu Barcelona Na Ushindi

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Ushindi wa juzi (12/03/2013) wa Barcelona dhidi ya AC Milan wa 4-0, haukuwa wa kushangaza kwa wafuatiliaji wa mambo wengi, hasa kwa wakatoliki. Wengi waliuona ukija. Kwa nini?

1. Mwaka 1958 wakati kanisa katoliki duniani likichagua Papa (kama ilivyokuwa juzi), Barcelona ilishinda mchezo wake dhidi ya Madrid kwa 4-0.

2. Mwaka 1978, pia wakati kanisa katoliki duniani likichagua Papa (kama ilivyokuwa juzi), Barcelona iliifunga Las Palmas 4-0.

3. Mchezo wake dhidi ya AC Milan juzi ulionekana ni kama wa "kimungu" kwa kuwa Barcelona walikuwa wakihitimisha mfululizo wa ushindi wa 4-0 dhidi ya timu pinzani hasa wanapokutana siku ambayo kanisa katoliki duniani linaanza mchakato wa kuchagua Papa.
Ukweli mwingine ni kwamba:

Nembo ya Barcelona ina alama ya msalaba (+). Je, kuna uhusiano wowote? Maoni yako ni nini kuhusu hili?
 
Dah sikuligundua hili so ilikuwa lazima washinde 4 bila ili litimie ANDIKO or sorry MAPOKEO

Tena ongezea na papa aliyechaguliwa anatoka shilika la JESUIT ambalo mwanzilishi wake anatoka SPAIN
 
Alama ya msalaba mwekundu katika logo ya Barcelona inaitwa St. George cross. Ndiyo alama inayotumika kwenye bendera ya England (St. George Flag), Georgia, Catalunya (jimbo la mji wa Barcelona)na logo ya timu zingine kama Inter Milan, AC Milan, Sampdoria na Genoa.
 
Ushindi wa juzi (12/03/2013) wa Barcelona dhidi ya AC Milan wa 4-0, haukuwa wa kushangaza kwa wafuatiliaji wa mambo wengi, hasa kwa wakatoliki. Wengi waliuona ukija. Kwa nini?

1. Mwaka 1958 wakati kanisa katoliki duniani likichagua Papa (kama ilivyokuwa juzi), Barcelona ilishinda mchezo wake dhidi ya Madrid kwa 4-0.

2. Mwaka 1978, pia wakati kanisa katoliki duniani likichagua Papa (kama ilivyokuwa juzi), Barcelona iliifunga Las Palmas 4-0.

3. Mchezo wake dhidi ya AC Milan juzi ulionekana ni kama wa "kimungu" kwa kuwa Barcelona walikuwa wakihitimisha mfululizo wa ushindi wa 4-0 dhidi ya timu pinzani hasa wanapokutana siku ambayo kanisa katoliki duniani linaanza mchakato wa kuchagua Papa.
Ukweli mwingine ni kwamba:

Nembo ya Barcelona ina alama ya msalaba (+). Je, kuna uhusiano wowote? Maoni yako ni nini kuhusu hili?
mkuu unapoongea kua na uhakka na hicho unachoongea usikurupuke tu nembo ya barca c msalaba ule ambao nyinyi makatoliki mnao utakidi kwa imani zenu za kiyeso angalia hizi picha hapo uone tofauti kua makini mkuu na jiulize kabla hujatoa hoja
téléchargement (1).jpgimages (2).jpgtéléchargement.jpg
 
Jamani mwacheni Mungu afanye shughuli za maana, na si kuanza kumhangaisha na mambo yasiyo na maana ETI BARCA anashunda 4 bila kila uchaguzi wa Papa! Barca alikutana na wale WAZEE wa AC Milan kushinda ilikuwa ni lazima. Hapa juzi alipogeuzwa na MAdrid ndani nje kwani ulikuwa wakati gani? Ulikuwa wakati huu huu wa kumchagua Papa wakati yule alikuwa ameshajiuzuru....so achane propaganda zisizo na maana kabisa...
 
mkuu unapoongea kua na uhakka na hicho unachoongea usikurupuke tu nembo ya barca c msalaba ule ambao nyinyi makatoliki mnao utakidi kwa imani zenu za kiyeso angalia hizi picha hapo uone tofauti kua makini mkuu na jiulize kabla hujatoa hoja
View attachment 86841View attachment 86842View attachment 86843

Mkuu, alama ya msalaba kwenye nembo ya FC Barcelona ni kama alivyosema msemaji mmoja hapo juu kuwa ni ''A cross of Saint Jordi au Saint George''. Kwa wakatoliki , miji au mitaa au makanisa n.k huwa yanakuwa na ulinzi wa Mmoja ya Watakatifu wake, so hivyo ndivyo ilivyo kwa jiji la Barcelona, yaani liko chini ya St Jordi kikanisa.

Na kulia kwa alama ile ya msalaba ni bendera ya Catalonia, yaani zile strips nne nyekundu zilizo juu ya rangi ya manjano. Na hiyo ndiyo alama ya utaifa yaani kwao ''Barca and Catalonia One Spirit''. Na msimu ujao, away kit ya FC Barcelona inatarajiwa kuwa ni ya strips kama hiyo bendera ya Catalonia.
 
From the very moment Barça was founded, the club had its own emblem that the players proudly wore on their shirts. It was the coat of arms of the city of Barcelona, a diamond shape divided into four quarters, with a crown and a bat on top, and surrounded by two branches, one of a laurel tree and the other a palm. This, even at such an early stage, was a way of expressing the club's link to the city in which it was born.

This crest remained unchanged until 1910. Shortly after Gamper had saved the club from serious crisis in 1908, a decision was made to give the club its own differentiated crest. In 1910, the club held a competition between all the members interested in presenting proposals. The winner was Carles Comamala, who played for the club between 1903 and 1912, and was a medicine student at the time, as well as being a fine artist. And so the crest that the club wears to this day was created, although there have been a few variations. It is a bowl-shaped design, in which the two upper quarters maintain the St George Cross and the red and yellow bars of the original, which are the most representative symbols of Barcelona and Catalonia. The club initials FCB appear on a strip across the centre, and below are the Barça colours and a ball. So, what we have is a crest that honours the sporting dimension of the club as well as its connection to its city and country.
640x360_historia_escut.1317115158.jpg

Since 1910, the changes made to the design have been minimal, generally just modifying the aesthetics and the patterns used for the outline. The biggest changes came about as a result of political obligations. When Franco came to power, the letters FCB were replaced by CFB, to reflect the way the club was forced to use the Spanish version of its name. The dictatorship also obliged the club to remove two of the four bars from one of the upper quarters, thus excluding the Catalan flag from the crest. On occasion of the club's 50th anniversary in 1949, the four bars returned. The original letters were not recovered until late 1974, when the crest reverted to the original 1910 design.

The present crest is based on an adaptation made by designer Claret Serrahima in 2002, in which the lines are a little more stylised, the dots between the letters have been taken away, the name has been made smaller, and there are fewer pointed edges. The lines in this latest design are somewhat simpler, to make it easier for the crest and the club's corporate identity to be reproduced in all the different formats.
 
From the very moment Barça was founded, the club had its own emblem that the players proudly wore on their shirts. It was the coat of arms of the city of Barcelona, a diamond shape divided into four quarters, with a crown and a bat on top, and surrounded by two branches, one of a laurel tree and the other a palm. This, even at such an early stage, was a way of expressing the club’s link to the city in which it was born.

This crest remained unchanged until 1910. Shortly after Gamper had saved the club from serious crisis in 1908, a decision was made to give the club its own differentiated crest. In 1910, the club held a competition between all the members interested in presenting proposals. The winner was Carles Comamala, who played for the club between 1903 and 1912, and was a medicine student at the time, as well as being a fine artist. And so the crest that the club wears to this day was created, although there have been a few variations. It is a bowl-shaped design, in which the two upper quarters maintain the St George Cross and the red and yellow bars of the original, which are the most representative symbols of Barcelona and Catalonia. The club initials FCB appear on a strip across the centre, and below are the Barça colours and a ball. So, what we have is a crest that honours the sporting dimension of the club as well as its connection to its city and country.
640x360_historia_escut.1317115158.jpg

Since 1910, the changes made to the design have been minimal, generally just modifying the aesthetics and the patterns used for the outline. The biggest changes came about as a result of political obligations. When Franco came to power, the letters FCB were replaced by CFB, to reflect the way the club was forced to use the Spanish version of its name. The dictatorship also obliged the club to remove two of the four bars from one of the upper quarters, thus excluding the Catalan flag from the crest. On occasion of the club’s 50th anniversary in 1949, the four bars returned. The original letters were not recovered until late 1974, when the crest reverted to the original 1910 design.

The present crest is based on an adaptation made by designer Claret Serrahima in 2002, in which the lines are a little more stylised, the dots between the letters have been taken away, the name has been made smaller, and there are fewer pointed edges. The lines in this latest design are somewhat simpler, to make it easier for the crest and the club’s corporate identity to be reproduced in all the different formats.

Maelezo yamejitosheleza haya..
 
Mkuu, alama ya msalaba kwenye nembo ya FC Barcelona ni kama alivyosema msemaji mmoja hapo juu kuwa ni ''A cross of Saint Jordi au Saint George''. Kwa wakatoliki , miji au mitaa au makanisa n.k huwa yanakuwa na ulinzi wa Mmoja ya Watakatifu wake, so hivyo ndivyo ilivyo kwa jiji la Barcelona, yaani liko chini ya St Jordi kikanisa.

Na kulia kwa alama ile ya msalaba ni bendera ya Catalonia, yaani zile strips nne nyekundu zilizo juu ya rangi ya manjano. Na hiyo ndiyo alama ya utaifa yaani kwao ''Barca and Catalonia One Spirit''. Na msimu ujao, away kit ya FC Barcelona inatarajiwa kuwa ni ya strips kama hiyo bendera ya Catalonia.
kwa maana hiyo hata ya real madrid ina msalaba jee wao ni mtukufu gani wanamtumia?
r..jpg
 
Dah sikuligundua hili so ilikuwa lazima washinde 4 bila ili litimie ANDIKO or sorry MAPOKEO

Tena ongezea na papa aliyechaguliwa anatoka shilika la JESUIT ambalo mwanzilishi wake anatoka SPAIN

Ongezea hata Pope mwenyewe anatokea Argentina anapotokea Chachu kuu ya ushindi wao wa juzi Lionel Messi, anayekataa na aache.
 
Back
Top Bottom